Nikigundua ananipenda huwa simtongozi

Nikigundua ananipenda huwa simtongozi

Kaka huwa unamuita unamaliza shughuli halafu hurudii tena au inakuwaje. Ujue mabinti na wao wana hisia vilevile na haimaanishi ni malaya. Huwa sielewi kwanini wanawake wakiji express wanaonekana wahuni.
 
hongera kwa kazi nzuri ya kufanya matusi..... cheza na hisia za wenzio one day zako zitachezewa tena mchezo mbaya .... watch out
 
Kaka huwa unamuita unamaliza shughuli halafu hurudii tena au inakuwaje. Ujue mabinti na wao wana hisia vilevile na haimaanishi ni malaya. Huwa sielewi kwanini wanawake wakiji express wanaonekana wahuni.

kaka nikishamaliza shughuli, ndo explanation inaendelea na ndo tunaanza sasa kuishi kama wapenzi.
 
Labda tu niseme binadamu tunatofautiana kimawazo, kimtazamo na hata kimipango.

Mimi kidogo ni mwepesi kusoma hisia za mtu, na nahisi hata mwanaume yeyote rijali lazima awe mwepesi kuelewa hisia za mwanamke katika masuala ya mapenzi.

Ninachokifanya mimi nikishagundua msichana ananipenda huwa simtongozi ila, namwita nyumbani basi namaliza shughuli.
Players' rule number 7, never hit chicks at ur own crib!! Utakuja juta!
 
kaka nikishamaliza shughuli, ndo explanation inaendelea na ndo tunaanza sasa kuishi kama wapenzi.

Kwanini usimpe tu haki yake ya kumtongoza. Kuanza na mchezo kwenye mahusiano huwa mara nyingi hupelekea mahusiano kuwa magumu na yasiyo eleweka. Jaribu kucheck tu mahusiano yako yaliyopita (kama yapo). Yaani una seal foundation ya penzi lenu ni mchezo.
 
ha ha ha mkuu mtu anaabza kujali kwa maneno halafu vitendo... hata dunia iliumbwa kwa maneno na baadae ikawa kweli ha ha hahahaha

teh, sishangai wewe kuridhika kwa maneno ukiamini kuwa vitendo vitafuata, kwani wasichana wengi ndo tunawadanganyaga hivyo hongera!
 
Kwanini usimpe tu haki yake ya kumtongoza. Kuanza na mchezo kwenye mahusiano huwa mara nyingi hupelekea mahusiano kuwa magumu na yasiyo eleweka. Jaribu kucheck tu mahusiano yako yaliyopita (kama yapo). Yaani una seal foundation ya penzi lenu ni mchezo.

maybe, lakini mi naona haiathiri chochote.
 
Back
Top Bottom