Nikicheza vibaya, miaka 30 hii hapa

Nikicheza vibaya, miaka 30 hii hapa

Ninaposema kuwa kuna watu wanakwenda shule kusomea ujinga, shule hizo huwa na walimu kama huyu mleta mada.

Mi naona kama kitu kiko inje ya uwezo wako bora ukanyamanza tuu kuliko kubweka ka umbwa,,, hivi unafikiri alichofanya mwalimu ni busara ya hali ya juuu mno

Chukulia mfano,,, huyu mtoto angemwambia hakimu maneno yale ungepeta majibu gani, angemwambia muhandisi kauli hiyo ungetegemea nini,, angemwambia daktari kauli hiyo kingefanyika nini,, angemwambia mmeo kauli hiyo kingefanyika nini

Msikurupuke tuu angalia chenga mwl alilompiga binti kutoka kuongelea kupendwa mpaka kupata ratiba na utaratibu mzima wa kujisomea,, kwa wataaalamu watajua ni mizunguko mingapi kwenye urefu wa ubongo

Mwlalimu niko na wewe na nikutie moyo

Hawa wengine ni wapuuuuzi tuu hawajui

Kuambiwa unataka utunukiwe bikra tena ya mtoto wa kidato cha nne,, na umeikwepa kiukweli hapo nimekubali ualimu ni kazi nyingine na kuwapata kama wewe ni mara chache mno

Ningeomba hata akimaliza usithubutu kufanya hicho kitendo kwani kitaishusha thawabu yako ulojikusanyia kwa kipindi hiki

Kweli we ni mwalimu bora daima

Ndio maana kupotia wewe A zimepatikana
Mbeleni hiyo itakuongezea cv nyingi kwa kufanya revolution
 
Hawa walimu wa siku hizi...!!! Ndio maana wanafunzi wao wanafanana nao kitabia.!
 
Wewe nawe shule ulienda kusomea ujinga.

Umeleta jistori refu lisiloeleweka.
 
Hako katoto kana 'haki ya kufeli', maana kama hapa JF umeandika kimahaba hivii, je huko darasani si ndio utakuwa unafundisha kimahaba zaidi?
 
Natamani niseme wewe si mwalimu. LAkini, unaweza kuwa mwalimu pia. Hii kazi ya ualimu imeingiliwa sana na vijana wa ajabu ajabu. Zamani ilikuwa ukienda shule unakuta walimu wengi ni watu wazima na ukikuta vijana basi wanakuwa na sifa moja tu ya ukali kiasi kwamba wanafunzi wanakuwa na adabu kwao. Lakini siku hizi ukimkuta mtu wa makamo shuleni basi ni mwalimu mkuu au mwalimu mkuu msaidizi au mwalimu wa taaluma....wengine wote "machekibobu" na "masista duu" hawana maadili kabisa. Sasa kama na wewe ni mwalimu basi utakuwa "chekibobu". Natamani walimu walionifundisha ndio waje wafundishe wanangu jambo ambalo haliwezekani.
Anyway, jitunze bwana usijirahisishe tu na wewe umekuwa bidhaa?
 
Kwa uandishi huo hufai kujiita mwalimu wala kufundisha. Katafute kazi nyingine jinga we
 
Natamani niseme wewe si mwalimu. LAkini, unaweza kuwa mwalimu pia. Hii kazi ya ualimu imeingiliwa sana na vijana wa ajabu ajabu. Zamani ilikuwa ukienda shule unakuta walimu wengi ni watu wazima na ukikuta vijana basi wanakuwa na sifa moja tu ya ukali kiasi kwamba wanafunzi wanakuwa na adabu kwao. Lakini siku hizi ukimkuta mtu wa makamo shuleni basi ni mwalimu mkuu au mwalimu mkuu msaidizi au mwalimu wa taaluma....wengine wote "machekibobu" na "masista duu" hawana maadili kabisa. Sasa kama na wewe ni mwalimu basi utakuwa "chekibobu". Natamani walimu walionifundisha ndio waje wafundishe wanangu jambo ambalo haliwezekani.
Anyway, jitunze bwana usijirahisishe tu na wewe umekuwa bidhaa?
Anzisha shule ya kwa ajiri wanao simbilisi wewe. Nini maana ya kusitaafu na nini maana ya kuajiri? Si ufinyu wa kufikiri kuirudisha dunia ilikotoka?
Kwa wale wa zamani tuanakumbuka kabisa ili uanze shule tulitumia mikono kama kipimo. Sas hivi tunatumia umri na vyeti. Duniani kote wametambua kua vijana ni taifa la leo na si la kesho. Vijana kama hawa wanapaswa wafundishwe tu mbinu za kazi na si kuwavunja moyo. Ingependeza ungempa mbinu na busara afanyeje ili kuendana na tasnia hiyi ya walimu. Na si kumkatisha tamaa kwa wanaoelewa vizuri saikolojia kijana kajitahidi sana. Kwa hiyo ulitamani usikie kijana huyu kabaka. Ikumbukwe hao walimu wako wa makamo waliokufundisha hata wao waliokua vijana kama huyu ambaye na yeye akiruka viunzi vitatu kama hivi busara ndani yake itajengeka na kukua kwa hali ya juu sana

Tunapaswa tumpe moyo kijana na sio kumkurupukia tuu kwa matusi na vijembe vinavyoashiria roho mbaya na kumkatisha tamaa.

Unabwatuka tuuu bila hata kutumia akili kwa kitu kidogo kusichohitaji hata cheti kujua

Ushauri
Ukiona vijana wanakuharibia wanao fuatilia binti yako ujue anatembea na nani kama si yulenaeshinda nae ifisini au mtu wa makamo yako, wazeee wenyewe nyie mmepoteza maana ya uzee halafu unakuja juu kwa vijana wanaojaribu kulikwamua taifa kutoka pale mlipotuachia baada ya kuliharibu

Wewe mwenyewe usikute unakimwanafunzi unachomendea tena ki 4m 2 .

Mwalimu nimekuelewa hasa kwa ulichokifanya, achana na haya ma mbumbu yalokua miili na kuongezeka umri lakini akili zao zikabakia kua za shule ya msingi
 
Kweli hampendi mafanikio ya mtu na hii ni dalili kabisa asilimia kubwa ya watz ni wachawi vuchwani mwao

Wewe ukipewa uchawi unaweza loga jinga wewe
Ufanye upuuzi utegemee wajinga wakutetee nenda uko ulaya unapopasifia halafu baka mwanafunzi huko kama hujapata mume kabisa
 
Natamani niseme wewe si mwalimu. LAkini, unaweza kuwa mwalimu pia. Hii kazi ya ualimu imeingiliwa sana na vijana wa ajabu ajabu. Zamani ilikuwa ukienda shule unakuta walimu wengi ni watu wazima na ukikuta vijana basi wanakuwa na sifa moja tu ya ukali kiasi kwamba wanafunzi wanakuwa na adabu kwao. Lakini siku hizi ukimkuta mtu wa makamo shuleni basi ni mwalimu mkuu au mwalimu mkuu msaidizi au mwalimu wa taaluma....wengine wote "machekibobu" na "masista duu" hawana maadili kabisa. Sasa kama na wewe ni mwalimu basi utakuwa "chekibobu". Natamani walimu walionifundisha ndio waje wafundishe wanangu jambo ambalo haliwezekani.
Anyway, jitunze bwana usijirahisishe tu na wewe umekuwa bidhaa?
Kosa langu ni kupendwa? Kuulizia mbinu ya kumsaidia zaid ya nilivyofanya ni kosa? Au hujasoma nilichokiandika umerukia rukia tu
 
Anzisha shule ya kwa ajiri wanao simbilisi wewe. Nini maana ya kusitaafu na nini maana ya kuajiri? Si ufinyu wa kufikiri kuirudisha dunia ilikotoka?
Kwa wale wa zamani tuanakumbuka kabisa ili uanze shule tulitumia mikono kama kipimo. Sas hivi tunatumia umri na vyeti. Duniani kote wametambua kua vijana ni taifa la leo na si la kesho. Vijana kama hawa wanapaswa wafundishwe tu mbinu za kazi na si kuwavunja moyo. Ingependeza ungempa mbinu na busara afanyeje ili kuendana na tasnia hiyi ya walimu. Na si kumkatisha tamaa kwa wanaoelewa vizuri saikolojia kijana kajitahidi sana. Kwa hiyo ulitamani usikie kijana huyu kabaka. Ikumbukwe hao walimu wako wa makamo waliokufundisha hata wao waliokua vijana kama huyu ambaye na yeye akiruka viunzi vitatu kama hivi busara ndani yake itajengeka na kukua kwa hali ya juu sana

Tunapaswa tumpe moyo kijana na sio kumkurupukia tuu kwa matusi na vijembe vinavyoashiria roho mbaya na kumkatisha tamaa.

Unabwatuka tuuu bila hata kutumia akili kwa kitu kidogo kusichohitaji hata cheti kujua

Ushauri
Ukiona vijana wanakuharibia wanao fuatilia binti yako ujue anatembea na nani kama si yulenaeshinda nae ifisini au mtu wa makamo yako, wazeee wenyewe nyie mmepoteza maana ya uzee halafu unakuja juu kwa vijana wanaojaribu kulikwamua taifa kutoka pale mlipotuachia baada ya kuliharibu

Wewe mwenyewe usikute unakimwanafunzi unachomendea tena ki 4m 2 .

Mwalimu nimekuelewa hasa kwa ulichokifanya, achana na haya ma mbumbu yalokua miili na kuongezeka umri lakini akili zao zikabakia kua za shule ya msingi
Tanzania tuna watu wachache sana wenye kuelewa mambo.hongera sana mkuu namin huko unakoishi jamii yako inafaidika kwa mawazo yako. Cha ajabu kuna watu wazima mara ohooo unatuharibia watoto pumbavu hamjasikia wazee wenzenu wanavyo tafuna watoto wenu. Mm nmewaomba ushauri mnabwatuka
 
Mbona wenzako waliopitia MEMKWA wanajielewa, wewe ulipatwa na nini?
 
Back
Top Bottom