Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,840
- 4,806
Ww ni naniWewe sio mwl huenda teja mzururaj
Ww ni naniWewe sio mwl huenda teja mzururaj
WALA SIO MWANAFUNZI NA SIO MWALIMU, NI MTU WA KIJIWENI ANAJARIBU NAYE KUCHANGIA LOLOTE ILIHALI AJIFURAHISHE.Hivi kweli we ni mwalimu au?
Maana unavyoandika kama mwanafunzi wa darasa la tatu, tena la tatu aloesoma ukubwani......
The problem huo upande wa physical geography kuna mambo ya features na huyu mwalimu ndiyo moja wapo imemchanganya the Virginia City in the United States of America. Bahati mbaya hana VISA ni mshauri tu. Hilo jiji waweza fika hususani umepewa ofa ya lift ya ndege ila ukumbuke 30yrs might be closer to you than you think. Kama hujaoa na umempenda basi wewe mvutie kasi msubiri mwambie tu hilo dodo mlifukie chini ya mchanga liive vizuri zaidi. Akifaulu itabidi usubiri tena ila hatua ya Chuo itabidi ndoa kwanza vinginevyo utakuwa surprised.Ok basi komaa na physical geog zaidi itakukipi busy, achana na regional geography itakufanya uwe unawaza factors attracting tourism kila wakati, mwisho wa siku you will be more attracted to the young lady.
Teh teh teh...Nmezoea kutumia chaki