Nikicheza vibaya, miaka 30 hii hapa

Nikicheza vibaya, miaka 30 hii hapa

Kama walimu ndio mpo namna hii hakika sifuri zitadumu kwa miongo mingi.
 
Atakuwa ni mwalimu hewa tu au wa tuition ila sio wa hii serikali ya awali ya 5
Bcc Magufuli
cc. Waziri wa elimu
 
Dah! Kama Kweli We Ni Mwalimu Basi Kwa Namna Unavyoandika, Hata Kuongea Bila Shaka Ni Hivyo Hivyo. Unawadekea Wanafunzi Wako Wakati Unafundisha
 
Kosa langu ni kupendwa? Kuulizia mbinu ya kumsaidia zaid ya nilivyofanya ni kosa? Au hujasoma nilichokiandika umerukia rukia tu
Wewe na huyo wa juu alienitukana hapo akili zenu mbovu. Sio watu wa kuigwa katika jamii. Mnajua maana ya "mwalimu"? Wapuuzi wakubwa. Eti mwalimu analiombea ushauri swala kama hili?
Asiejua walimu taifa la kesho nani?
Haya ukishauriwa umle utamla?
 
Hivi kweli we ni mwalimu au?
Maana unavyoandika kama mwanafunzi wa darasa la tatu, tena la tatu aloesoma ukubwani......
Huyu kama ni mwalimu basi maslahi yao yanatosha. Huyu huwezi kumlipa zaidi ya laki 2 kwa mwezi.
 
Mimi nakushangaa!!!!
kwanza wewe sio mwalimu wala huna hadhi ya kuwa mwalimu!

Kimsingi hadithi yako wala haivutii kwa mtu mwenye akili labda ya kudanganyana vijiweni!
Tunga hadithi za kufurahisha na sio za kudhalilisha taaluma za watu!
Fani ya ualimu imevamiwa na mateja ndiyo maana ubora wa Elimu unashuka. Huyu kama kweli ni mwalimu na kama kweli watanzania tuko serious na maisha ya watoto wetu, basi wamiliki wa jf watusaidie kutoa details za huyu mtu akamatwe na kuwajibishwa. Hawezi kuja hapa kujisifia kuwa anaharibu maisha ya watoto wetu
 
Wewe na huyo wa juu alienitukana hapo akili zenu mbovu. Sio watu wa kuigwa katika jamii. Mnajua maana ya "mwalimu"? Wapuuzi wakubwa. Eti mwalimu analiombea ushauri swala kama hili?
Asiejua walimu taifa la kesho nani?
Haya ukishauriwa umle utamla?
Jamani akamatwe huyu na kuchukuliwa hatua
 
Mkemee shetani, alafu fikiria huyo angekua ni binti yako wa kumzaa ungejisikiaje, fahamu kua malipo ni hapahapa duniani km siyo jela basi yatatokea kwa binti yako. Acha ushetani fanya kazi.
 
Hawa wanafunzi hawa, shetan ananiita kabisa na miaka 30 ileeeee , ebu nipen mbinu waungwana

Mimi ni mwalim nafundisha shule frani hivi na tokea nmeanza kufundisha sijamaliza hata mwaka

Kuna katoto kapo kidato cha4, haka katoto nlikasanukia harakat zake , nkiwa nafundisha kananiangalia kimahaba na kila muda full kutabasam.kakijibu swali fuul kudeka, m nkawa nakachek tu af naendelea na kazi

Sasa juzi staff kukachafuka balaa mitoto imefel wakt kazi imepigwa ya kutosha, maticha tukamua kutoa dozi ya kutosha.
Asa katikaa waliofeli kuna watoto kama watatu hivi mwanzon walikua wanafanya vizur uko nyuma

Academic ikabid awape karatasi ili waandike maelezo ni nini hasa kinachowafanya wafeli?

Baada ya barua kurudishwa nkashanga academic ananiletea barua. Kuchek jina ni kale kadent ambako huwa kananidekea.

Kameandika et kanafeli kwakua kananipenda, et kakiniona tu kanachanganyikiwa na hakawezi kusoma na kuelewa, kamedai hata kakirud nyumban kananiwaza mimi tu.

Baada ya ilo íkabid nikaite private, nikakauliza kwanin kananipenda kakawa hakajibu. Badae nikanza kukasifia kalivyo kazuri, nikakasifia kalivyo na uelewa mzuri katika masomo hadi walim tunakakubali. Nkakakumbusha jinsi kwao wanavyokategemea . nikakapa matumain makubwa sana juu ya maisha yake ya badae jinsi atakavokua badae

Baada ya kukapamba na kukapa matumain ikabid kaanze kufunguka . kakaniambia kanapenda nnavofundisha, nnavowashaur darasan na siwachap ovyo, nawaonesha upendo , kwahiyo et akawa anataka kunipa zawad ya bikra ili iwe kumbu kumbu kwangu na kwake maana atamaliza sio muda.
Apo kwe bikra apo na katoto si haba af kameshachezwa haka na kanajua thaman ya bikra, asa m nawaza bikra anawazaje kitu asichokijua had afeli?

Badae nkakambia kaandike ratiba af nkakaelekeza jinsi ya kusoma kwa kufaulu na nkakambia ntafatilia usomaji wake kwa kuchek summary zake na madaftar yake. Nmekambia kakifaulu ntakasurplize

Ila hapo kwe bikra apo nahis shetan ananiita kabisa,
Wakuu ebu nipen nyongeza apo nifanye nn kingine ili anitoe kabisa mawazon mwake
Kwa mwenendo huu walimu hatuna. Mnatutisha sasa na ss wanetu watapona kweli. Khaaaaaa
 
Back
Top Bottom