Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 427
Nimekuwa nikifuatilia Weusi kwa muda sasa na nimekuwa impressed nao sio kwa kazi zao hata character zao as individuals hasa joh makin na g nako. Ila am not impressed for the case of Niki, amekuwa muongeaji kupita maelezo, mafanikio madogo atakuza kila mtu ajue (PhD) kila mtu aone anasoma, my young bratha in todays world u dont need to say to show off for things that any one can do it. Nimekaa na watu wengi wa arusha sio watu waongeaji coz wamezoea mafanikio lakin wew u have a strange character.Maneno maneno achia hawa watoto wa uswahilin remember umetoka wap. Umepata tu admission ya PhD unatangaza fanya kazi kwanza then kazi ikutangaze.

Lini ulomsikia Nikki wa Pili anajitangaza?? hivi katika wasanii wanaongea ongea unaweza ukamuweka na Nikki kweli??
Time i'll say to all haters