Nikaulizwa "UNAPENDA AWEJE?"

Nikaulizwa "UNAPENDA AWEJE?"

Sio rahisi kujua sababu za kumpenda unayempenda kama kweli wampenda.

Ukiwa na sababu tu, basi hiyo sifa ikipotea na mapenzi hupotea.
with due respect naomba kwa mara nya kwanza leo nitofautiane na wewe dadaangu Kaungahuwezi kumpenda mtu bila sababu.....lazima kuwe na kiu kinachokuvutia kwake iwe ucheshi,uzuri wake,tabia n.k lara 1 yeye lazima mtu wake awe vifurushi vinne lakini pesa mbele
 
Last edited by a moderator:
with due respect naomba kwa mara nya kwanza leo nitofautiane na wewe dadaangu Kaungahuwezi kumpenda mtu bila sababu.....lazima kuwe na kiu kinachokuvutia kwake iwe ucheshi,uzuri wake,tabia n.k lara 1 yeye lazima mtu wake awe vifurushi vinne lakini pesa mbele

Mpalu you are right; huwezi mpenda mtu bila ya sababu. Kwa yule unayempenda ile ya rohoni (True Love) unakuwa na 101 sababu na huwezi kupin point ipi ndio main. Na ndio maana wengine husema nakupenda just because you are you na wewe as package (a complete you) uko peke yako duniani. Au wengine anakwambia, ni kwasababu unanifanya niwe kamili na kwamba usipokuwepo najihisi kupungukiwa japo kwamba nina marafiki, nina mali, naweza pata sex nikihitaji etc.

So my dear brother, with due respect sipingani na wewe ila Upendo wa kweli unakuwa na sababu ZOTE za kuwa na huyo uliyompenda!
 
much obliged madame
 
Du! Wangu nampenda na cioni nilichompendea,bt naye ananipenda ndo maana nampenda,kweli wapo wazuri zaidi yake!lakini kwake huniambii kitu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom