Nikaulizwa "UNAPENDA AWEJE?"

Nikaulizwa "UNAPENDA AWEJE?"

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Kuna ka binti kamoja kalikuwa karafiki kangu tukipiga stori hii na ile,
Siku moja tumekaa tukiongea hili na lile mara gafla kakaniuliza swali hili,
"Sijawahi kumuona mpenzi wako, lakini hebu niambie yukoje?"
Mrefu, mfupi, mweupe, mweusi, mnene au mwembamba?

Si nikakosa jibu, kwasababu hata siku moja sikuwahi kujiuliza kipi kilifanya nikawa na huyo mpenzi wangu,
Najua sababu ya yeye kuniuliza lakini swali lake lilinipa nafasi ya kujiuliza pia,
Hivi nini kilikufanya uwe na huyo mpenzi uliyenaye sasa?
Je kama ni sababu fulani, akitokea mwingine leo mwenye zaidi ya sababu hizo utamwacha uliyenaye sasa?

"Mimi, wewe, ni sisi.........tujiulize, tuulize na tuulizane...........tutafika tu
 
Sio rahisi kujua sababu za kumpenda unayempenda kama kweli wampenda.

Ukiwa na sababu tu, basi hiyo sifa ikipotea na mapenzi hupotea.
Lakini in modern World sio kwamba tunatafuta sifa fulani fulani kweli kwa wale tunaoamua kuwa kwenye mahusiano nao?

Perhaps ndio mwanzo wa ndoa nyingi kutodumu au kuwa na vidumu kama milioni hivi kwa wahusika
 
Kuna ka binti kamoja kalikuwa karafiki kangu tukipiga stori hii na ile,
Siku moja tumekaa tukiongea hili na lile mara gafla kakaniuliza swali hili,
"Sijawahi kumuona mpenzi wako, lakini hebu niambie yukoje?"
Mrefu, mfupi, mweupe, mweusi, mnene au mwembamba?

Si nikakosa jibu, kwasababu hata siku moja sikuwahi kujiuliza kipi kilifanya nikawa na huyo mpenzi wangu,
Najua sababu ya yeye kuniuliza lakini swali lake lilinipa nafasi ya kujiuliza pia,
Hivi nini kilikufanya uwe na huyo mpenzi uliyenaye sasa?
Je kama ni sababu fulani, akitokea mwingine leo mwenye zaidi ya sababu hizo utamwacha uliyenaye sasa?

"Mimi, wewe, ni sisi.........tujiulize, tuulize na tuulizane...........tutafika tu

hebu kwa heshima na taadhima kubwa kuexclude ambao tulishaenda kupiga pingu chach..
 
Lakini in modern World sio kwamba tunatafuta sifa fulani fulani kweli kwa wale tunaoamua kuwa kwenye mahusiano nao?

Perhaps ndio mwanzo wa ndoa nyingi kutodumu au kuwa na vidumu kama milioni hivi kwa wahusika

Najua, kuna vitu unakuwa attracted navyo toka kwa mtu; note ATTRACTION
Kuna misingi ambayo umejiwekea say elimu, dini, umri etc hivyo vyote tuviweke kwenye kundi la COMPATIBILITY
lakini kuna kumpenda mtu bila kujua sababu hasa. Na ukitaka kupima, anza kujiuliza ni kitu gani ulichompendea hupati moja kwa moja. Akipoteza baadhi ya sifa bado unampenda tu na sio kufeel uko COMMITTED naye.

Mapenzi yetu walio wengi, ni yanaangalia vitu hivyo 2, yaani attraction ana compatibility na yanashikiliwa au yanagundishwa na COMMITMENT (iwe watoto, au Vows).
 
Nimeona nisiongeze kitu hapa kabisaaaa maana ntaharibu
 
"Gravitational force is not resposible for people falling in love"

Albert Einstein
 
Napenda awe hivyo hivyo alivyo, kwa sababu nampenda hivyo hivyo alivyo!
 
Najua, kuna vitu unakuwa attracted navyo toka kwa mtu; note ATTRACTION
Kuna misingi ambayo umejiwekea say elimu, dini, umri etc hivyo vyote tuviweke kwenye kundi la COMPATIBILITY
lakini kuna kumpenda mtu bila kujua sababu hasa. Na ukitaka kupima, anza kujiuliza ni kitu gani ulichompendea hupati moja kwa moja. Akipoteza baadhi ya sifa bado unampenda tu na sio kufeel uko COMMITTED naye.

Mapenzi yetu walio wengi, ni yanaangalia vitu hivyo 2, yaani attraction ana compatibility na yanashikiliwa au yanagundishwa na COMMITMENT (iwe watoto, au Vows).

Umemaliza kila kitu mama! Ukimpenda mtu hautakua na jibu la kipi haswa umempendea na haufungwi na comittment yoyote! Na utampenda either awepo ama asiwepo! Hiyo ndio inaitwa kupenda kwa MOYO, ila kuna kupenda kwa AKILI....hii ndio ipo kwenye mapenzi ya sasa na inakwenda pamoja na vigezo fulani fulani! Vigezo hivyo vinaweza kuwa vingi na ukadhani unampenda jinsi alivyo ila ukweli ni kuwa vikipungua na mapenzi yanapungua
 
hata sijui nilimpendea nini ngoja nikamuulize huyu bwana swali zuri sana.
 
Kuna siku mtu mmoja alikuwa anasema mara nyingi ukifuatilia sana wale wanaume wanaotoka nje ya ndoa utagundua kwamba wake zao wanakuwa wamebadilika kwa kiasi kikubwa na hata hao wanaotoka nao huko nje huwa wengi wao wana sifa walizokuwa nazo wake zao wakati wanakutana au wanaanza mahusiano yao
 
Umemaliza kila kitu mama! Ukimpenda mtu hautakua na jibu la kipi haswa umempendea na haufungwi na comittment yoyote! Na utampenda either awepo ama asiwepo! Hiyo ndio inaitwa kupenda kwa MOYO, ila kuna kupenda kwa AKILI....hii ndio ipo kwenye mapenzi ya sasa na inakwenda pamoja na vigezo fulani fulani! Vigezo hivyo vinaweza kuwa vingi na ukadhani unampenda jinsi alivyo ila ukweli ni kuwa vikipungua na mapenzi yanapungua

I like the way ulivyoi-summarize.
Ila cha ajabu tunashauriwa tusipende kwa moyo tutumie AKILI, sasa kila mtu akitumia akili kuna haja ya kula kiapo cha mpaka kifo kitutenganishe?
 
Kwa sisi wakristo tunasema siku hizi watu wamepoteza hofu ya Mungu. Nakumbuka zamani watu walikuwa wanajiuliza mara mbili, je kuna mtu ananiona? Kama hapana anajiuliza tena, je Mungu ananiona? basi anaahirisha kile alichokuwa anafikiria. Lakini siku hizi watu wanajiuliza nusu ya swali la kwanza na la pili hawajiulizi kabisa.

Yaani ni kwamba "VOWS" zimekuwa formalities tu kwa wengi
 
Kuna siku mtu mmoja alikuwa anasema mara nyingi ukifuatilia sana wale wanaume wanaotoka nje ya ndoa utagundua kwamba wake zao wanakuwa wamebadilika kwa kiasi kikubwa na hata hao wanaotoka nao huko nje huwa wengi wao wana sifa walizokuwa nazo wake zao wakati wanakutana au wanaanza mahusiano yao

Alinipeendea figure langu la kimiss na matiti kama embe dodo, sasa nina watoto 3, nimenenepeana tumbo hata nikifanya diet vipi siwezi kurudi; haya matiti yeshakuwa kandambili na the only solution ni kuyajaza silicon naye anasema anataka kitu natural ndio maana anaenda kwa vibinti vya kidato cha pili C.

Nami nilimpendea pesa yake na shughuli (jinsi alivyokua anaunganisha) sasa hivi na likijikitambi ni kidogo tu hoi; sasa kwanini nisimuangalie shamba boy au Mr. Trainer wa Gym?

YOTE NI UBATILI TU.
 
Najua, kuna vitu unakuwa attracted navyo toka kwa mtu; note ATTRACTION
Kuna misingi ambayo umejiwekea say elimu, dini, umri etc hivyo vyote tuviweke kwenye kundi la COMPATIBILITY
lakini kuna kumpenda mtu bila kujua sababu hasa. Na ukitaka kupima, anza kujiuliza ni kitu gani ulichompendea hupati moja kwa moja. Akipoteza baadhi ya sifa bado unampenda tu na sio kufeel uko COMMITTED naye.

Mapenzi yetu walio wengi, ni yanaangalia vitu hivyo 2, yaani attraction ana compatibility na yanashikiliwa au yanagundishwa na COMMITMENT (iwe watoto, au Vows).

Umefunguka kama ipasavyo, nahama mada sina cha kuchangia hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom