Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,811
- 15,403
- Thread starter
- #61
Katika vitu ambavyo Mungu kanibariki ni kutokuwa na aibu, kwangu tukio likitokea na kupita huo unakuwa ni sawa na mzoga nasahau na ninachapa mwendo na maisha, na kama inatokea nouma nyingine najaribu kuirekebisha nikipata matokeo yawe mabaya au mazuri, nasonga mbele na maisha na ndio maana ninao ujasiri wa kusimulia hapa JF...........Mkuu, you seem to clever lakini inaonekana kuwa huyo dada was clever than you.
Sasa naomba kuuliza siku za hivi karibuni umewahi kumkumbusha hilo tukio hata kwa kumtania tu?
Duh asie hiyo ni ngumu ningekua mimi ningehama mtaa usiku huo huo.
Pole sana kaka kwa aibu uliyoipata mbele ya watu unaowaheshim ni sawa na mtu kukuvua nguo hadharani
Thanks