Nikasema nilikuwa na Jini mahaba…..!

Mkuu, you seem to clever lakini inaonekana kuwa huyo dada was clever than you.
Sasa naomba kuuliza siku za hivi karibuni umewahi kumkumbusha hilo tukio hata kwa kumtania tu?
Duh asie hiyo ni ngumu ningekua mimi ningehama mtaa usiku huo huo.
Pole sana kaka kwa aibu uliyoipata mbele ya watu unaowaheshim ni sawa na mtu kukuvua nguo hadharani
Thanks
Katika vitu ambavyo Mungu kanibariki ni kutokuwa na aibu, kwangu tukio likitokea na kupita huo unakuwa ni sawa na mzoga nasahau na ninachapa mwendo na maisha, na kama inatokea nouma nyingine najaribu kuirekebisha nikipata matokeo yawe mabaya au mazuri, nasonga mbele na maisha na ndio maana ninao ujasiri wa kusimulia hapa JF...........
 
Sasa mzee mtambuzi mjini ulikuja marangapi toka umalize form four? Maana mara yakwanza ulifikia kwa kaka yako na leo tena kwa mjomba wako...

Hili swali nilishalijibu saa nyingi, uwe unasoma maoni ya wenzako......................LOL
Hebu soma hapa chini:

QUOTE=Mtambuzi;3355674]Na wewe kumbe huna kumbukumbu...........Nilikuja kwa mara ya kwanza nikafikia kwa kaka yangu Kariakoo, baada ya mkasa wa kipondo pale Avalon Cinema niikarudishwa kijijini, baadae nikarudi na kufikia kwa mjomba mkubwa huko Temeka kata ya 14, na baada ya ule mkasa wa dogo kuja mikono mitupu nikapona kwenda jela lakini sikukaa sana nikarudi kijijini tena, mkasa huu, nilirudi tena Town na kufikia kwa mjomba mdogo maeneo ya Tandale kwa Mkunduge..........Haya ni kitu gani huelewi sasa?[/QUOTE]
 
lini sasa baba mkwe utafanikiwa kila siku unaishia kukosa tu
thanks kwa story nzuri nkikuona utapata ofa ya ndafu choma na castle baridi
naamini itakuwaa njia rahaisi ya kukubali posa ya mwanao cantalisa nimwotae kila siku
 
lini sasa baba mkwe utafanikiwa kila siku unaishia kukosa tu
thanks kwa story nzuri nkikuona utapata ofa ya ndafu choma na castle baridi
naamini itakuwaa njia rahaisi ya kukubali posa ya mwanao cantalisa nimwotae kila siku
Umenifurahisha hapo mwanzo, lakini hiyo maneno kwenye bold..........umeharibu mbayaaaaaa.
Hivi unayo taarifa kuwa mimi ni mmoja kati ya watu wachache wanaomiliki silaha kihalali hapa nchini? kama ulikuwa hujui basi taarifa ndiyo hiyo!
 
baba mkwe kwenye kuoa hatuogopi silaha wala mkuki
hata ukitaka manyoya ya simba ntakuja nayo.
kama hutaki nioe mwanao kwa nn wewe baba ulioa
MWANAO ASHAKUBALI NI WW TU UNATAKA KUMZUIA.
 
Mtambuzi bana.....nilianza siku vibaya lakini baada ya kusoma mkasa huu, wiki itakuwa safi!
 
Acha unoko wewe..................Hii sio maneno mbofu mbofu, bali ni tukio la kweli kabisaaa,........ Mama yangu mzazi vile nakuampia!

Nadhani baadaye ulipata mpungaji wa huyo jini mahaba (Bibi angu) hahahahaa.......
 
Kumbe wewe hujui, kwa
taarifa yako katika kesi ambazo humalizwa kimya kimya, basi ni kesi za
kubaka..............Hakuna mwanamke anayeweza kusimama kizimbani akaanza
kusimulia u.p.u.u.z.i aliofanyiwa....................LOL

miaka ya 47 c sasa,skuizi wanasimama mpk ushuhuda anautafuta,chezea sa 6 za skuizi ww......?
 
Kumbe wewe hujui, kwa taarifa yako katika kesi ambazo humalizwa kimya kimya, basi ni kesi za kubaka..............Hakuna mwanamke anayeweza kusimama kizimbani akaanza kusimulia u.p.u.u.z.i aliofanyiwa....................LOL

ila kweli!
 
Umenifurahisha hapo mwanzo, lakini hiyo maneno kwenye bold..........umeharibu mbayaaaaaa.
Hivi unayo taarifa kuwa mimi ni mmoja kati ya watu wachache wanaomiliki silaha kihalali hapa nchini? kama ulikuwa hujui basi taarifa ndiyo hiyo!

unataka kula wa wenzio tu enh?wako akitaka kuliwa eti unamiliki silaha!kwani we mzee wa mabwe?unalo hilo lazima na we wakupigie babu!
 
Back
Top Bottom