Nikaribisheni Dodoma

Nikaribisheni Dodoma

Qualifier

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
1,252
Reaction score
408
Wana JF mlioko Dodoma leo nipo hapa mjini kwenu nitakuwepo wiki moia tafadhali nikaribisheni kwa lengo la kufahamiana
 
Karibu, karibu Mgeni. Panga ratiba yako vizuri jioni tukafanye utalii wa ndani UDOM.
 
Karibu, karibu Mgeni. Panga ratiba yako vizuri jioni tukafanye utalii wa ndani UDOM.
Malalika????????? mmmmhhh!

hili jina mbona kama la mwalimu wangu fulani hivi wa mwanza?

ama ni wewe?
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana ila uje na box la ndonga tukatafune wachumba
 
Aje chako ni chako atanikuta nakula makange ya foil.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom