Jinsia yako tafadhali?Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni. Nitakaa takribani siku tano hivi. Siku mbili za kwanza nitakuwa Charambe kwa mjomba wangu kisha nitahamia Kitunda kwa siku moja. Na siku mbili za mwisho nitakuwa Mwananyamala kwa Kopa. Jamani naombeni wana JF wenzangu mnionyeshe viwanja nami nilione jiji. Ni PM nikupatie contacts zangu.

hapa kuna Nduka na Nduka original....kimbembe

Huko charambe hivi ni sehemu ya dar kweli?

Namwona NOT ENOUGH anachungulia, kama yupo nadhani atakukaribisha tu

Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni. Nitakaa takribani siku tano hivi. Siku mbili za kwanza nitakuwa Charambe kwa mjomba wangu kisha nitahamia Kitunda kwa siku moja. Na siku mbili za mwisho nitakuwa Mwananyamala kwa Kopa. Jamani naombeni wana JF wenzangu mnionyeshe viwanja nami nilione jiji. Ni PM nikupatie contacts zangu.
Mimi ntakua dar mwezi ujao,...ntaaanzia Mikocheni B,.....Masaki,...Mbezi beach,...niamabie mm mtu wa aina gani[/QUOTE
huko kuna sehemu ya ile kazi yako
Mimi ntakua dar mwezi ujao,...ntaaanzia Mikocheni B,.....Masaki,...Mbezi beach,...niamabie mm mtu wa aina gani[/QUOTE
huko kuna sehemu ya ile kazi yako
IPO,...SEMA IPO SEHEMU MOJA TU,...UKISHUKA KITUO KWA WARIOBA(MIKOCHENI B),...UTANIKUTA NABRASH HAPO MAENEO,..HATA MAMA RITHA MLAKI NAMNG'ARISHA SOMETIMES,...KARIBU SANA BLACK WOMAN

Unatokea mkoa gani mkuu? ili tukukarimu kwa kuzingatia utokako.

anunue mzigo.
Charambe + Kitunda + Mwananyamala kwa kopa!
Ni rahisi sana kukufahamu wewe ni mtu wa aina gani! Karibu lakini
jinsia yako tafadhali?
Ni heri mimi ninaekuja huko uwsahilini kwa shughuli zangu kuliko wewe unaekaa Ostarbay kwa dada yako. Siku shemeji yako akilewa akianza kupiga nyapu yake unalalamika. MODS naomba msinipige BAN huyu kijana kanianza mwenyewe.