Nikaribisheni basi

Karibu bila shaka..karibu sana JF... Jisikie huru kuchangia maono mitazamo na maoni yake kwa hekima na heshima bila kuwakwaza wengine... Kwa njia hii utaifaidi JF na kuwa real great thinker
Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji wa Mada nyingi humu ndani. Hatimaye na me nimekuwa mwanafamilia sasa.
Merry Christmas and happy new yea kwa member wote!
Much lov kwenu!



Sent from my iPhone using JamiiForums

Jr
 
Back
Top Bottom