huyu atakuwa alilala gesti
ivi nyumban kwako TV una i mountain juu namna hiyo si wataugua shingo?
Halafu hicho kikapeti cha mlangoni kirudishe sehem yake hapo sebuleni hakifai
Sitaki
Aisee we kiboko mwenzio kaona Jeans wewe umeona lebo.Halafu pia bandua milebo hiyo upande wa juu kushoto hapo haina upya tena...nina wasi wasi utakuwa msukuma wewe
Nnakushauri TV yako ishushe chini, ipo juu sana. Chini ya TV pawe 2" (nchi mbili) kutoka kwenye hiyo meza nyeupe.
...inekuwa Bahati mbaya camera man amezoom "in"akaonekana chini ya kiuno...
huyu atakuwa alilala gesti
ivi nyumban kwako TV una i mountain juu namna hiyo si wataugua shingo?
Hope hujui mziki wa watoto