huwa wanavaa hadi suti na ndala.
Haaaaaaaa lol
Tena huyu ndio anavaaga mpaka madera utamkuta anapepea kwenye bajaji anawahimkutangaza taarifa huku kavaa ndala zake za wamasai..mxxxxx
Kumbe ule usmati ni maungo ya juu tu chini huku kama kawa......ila mkaleeee

Ndio kawaida yao mbona Mara kibao tu tena huyu wa Leo ndio wanamuonea Mara nyingi nguo yake ya chini Inaoneakana!! Wabadilike.
Nnakushauri TV yako ishushe chini, ipo juu sana. Chini ya TV pawe 2" (nchi mbili) kutoka kwenye hiyo meza nyeupe.