...Nikamwambia nenda kwa Polepole akukopeshe

Tusifike Huko,Zanzibar Haya Mambo Wakati Fulani Yaliwapa Tabu Sana Ikafikia Hatua Mbaya Mno
Mwanachama Wa CUF Alikuwa Hawezi Kumzika Wa CCM
Pia Ilikuwa Kuoa/Kuolea Na Mtu Wa Chama Tofauti Haiwezekani.

Mpaka Wakatafuta Maridhiano
Ukichagua upinzani sileti maendeleo"
Alisikika akisema
 
Ukichagua upinzani sileti maendeleo"
Alisikika akisema
Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha
Usinichanganyie Gongo Na Rubisi ,Kabugumo Kama Utakuwa Unataka Kunywa Gongo Kunywa Yenyewe Usije Ukatuangusha
Nasema Uongo Ndugu Zangu!!!😀😁
 
Inawezekana hao watu wananyimwa kusaidiana mitandaoni lakini kwenye maisha halisia hawanyimwi chochote.
Maana wafuasi wa vyama vyasiasa kama wanaweza kuandamana na kupiga kura mitandaoni watashindwaje kuwanyima wengine mikopo mitandaoni na kuwa na nyumba za kupangisha mitandaoni ambazo wamewapa notice wapangaji.
Siku hizi wanasiasa wakiongea lolote humu huwa siamini mpaka nione maana wengi wanaleta stori ambazo mtaani tumethibitisha hazipo.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Unauwezo mdogo sana wa kufikiri. Unawezaje kufanya maamuzi ya hovyo kiasi hicho kisa siasa? Hutakiwi kuendeleza milengo ya kisiasa hatà baada ya hayo kupata.
Kwahiyo wale wanaoua na kuwafunga wenzao kisa siasa wanauwezo mkubwa wa kufikiri! Fikiri kabla haujaandika.
 
Huyu ni rafiki yangu wa kitambo. Alikuwa Mwana-CHADEMAmzuri na mpigania haki kweli kweli. Basi likaja lile wimbi la wapinzani kununuliwa na CCM akasepea ccm kuunga juhudi. Nikawa namcheki tu

Uchaguzi umekuja akawa mstari wa mbele kuikandia chadema na kuipaka matope wakati ndiyo iliyomtoa jalalani. Akawa MwanaCCM machachari kuliko hata wenye chama chao. Nikawa namcheki tu

Basi uchaguzi umeisha anakuja kwangu analialia alivyofulia, maisha yalivyomuwia magumu maana wajumbe walimkatilia mbali, eti anataka nimkopeshe pesa walau akawanunulie Watoto Ugali

Sikumchelewesha nikampa makavu laivu, nikamwambia umeshiriki kuwadhurumu watanzania na kuikana kweli kisa vipande vya fedha

Umetema Big G kwa karanga za kuonjeshwa sasa nenda kwa hao kina Magu na Polepole wakukopeshe. Hata mwezi baada ya uchaguzi bado ushaanza kulia njaa? Akapikie Watoto Fly Over na Bombardier.

Nikamwambia sikukopeshi hata mia shubaamit na urafiki ufe

Dawa ya hawa wasaliti wa haki ni kuwafungia vioo. Walidhani watakuwa na bei zao special za cement, sukari nk, kumbe tunakuja kusota nao hukuhuku mtaani
Mimi mtoto wa ndugu yangu nayemsomesha... nimemwambia kabisa ndugu yangu shule zimefungwa mwanae ntampa nauli ya kurudi kwao kijijini... Na hapo ndipo utakuwa mwisho wa msaada wangu kwake....
 
Umetisha mkuu. Safi sana
 
Mimi mtoto wa ndugu yangu nayemsomesha... nimemwambia kabisa ndugu yangu shule zimefungwa mwanae ntampa nauli ya kurudi kwao kijijini... Na hapo ndipo utakuwa mwisho wa msaada wangu kwake....
Huyo ndugu yako naye aliunga mkono juhudi?
 
Sababu za kitoto sana, yani unamchagulia mtu upande wa kuwa mbona we jamaa hakukuchagulia na huu ndo ujinga tulio nao waafrika
 
Huyu ni rafiki yangu wa kitambo. Alikuwa Mwana-CHADEMAmzuri na mpigania haki kweli kweli. Basi likaja lile wimbi la wapinzani kununuliwa na CCM akasepea ccm kuunga juhudi. Nikawa namcheki tu

Uchaguzi umekuja akawa mstari wa mbele kuikandia chadema na kuipaka matope wakati ndiyo iliyomtoa jalalani. Akawa MwanaCCM machachari kuliko hata wenye chama chao. Nikawa namcheki tu

Basi uchaguzi umeisha anakuja kwangu analialia alivyofulia, maisha yalivyomuwia magumu maana wajumbe walimkatilia mbali, eti anataka nimkopeshe pesa walau akawanunulie Watoto Ugali

Sikumchelewesha nikampa makavu laivu, nikamwambia umeshiriki kuwadhurumu watanzania na kuikana kweli kisa vipande vya fedha

Umetema Big G kwa karanga za kuonjeshwa sasa nenda kwa hao kina Magu na Polepole wakukopeshe. Hata mwezi baada ya uchaguzi bado ushaanza kulia njaa? Akapikie Watoto Fly Over na Bombardier.

Nikamwambia sikukopeshi hata mia shubaamit na urafiki ufe

Dawa ya hawa wasaliti wa haki ni kuwafungia vioo. Walidhani watakuwa na bei zao special za cement, sukari nk, kumbe tunakuja kusota nao hukuhuku mtaani
Kuna jamaa naye kipindi cha Uchaguzi wa 2015 alikuwa anashabikia sana CCM kwenye group letu ,uchaguzi ulivyoisha akaanza kunipiga mizinga ,hapo awali kabla sijajua affiliation yake nilikuwa nampa ,ila baada ya kujua nikawa simpi maana nikaona hajitambui.
 
Unauwezo mdogo sana wa kufikiri. Unawezaje kufanya maamuzi ya hovyo kiasi hicho kisa siasa? Hutakiwi kuendeleza milengo ya kisiasa hatà baada ya hayo kupata.
Watanzania tume kosa furaha sababu ya CCM. Wote wanao shirikiana nayo watengwe tu.Na bado, mimi nikikutana na mccm ana shida naomba ziwe mara kumi yake.
 
Sababu za kitoto sana, yani unamchagulia mtu upande wa kuwa mbona we jamaa hakukuchagulia na huu ndo ujinga tulio nao waafrika
Mimi sina chama. Niko upande wa haki na kweli. Yeyote ashirikiye katika udhalimu asinisogelee hasa nyie maccm
 
Back
Top Bottom