...Nikamwambia nenda kwa Polepole akukopeshe

Umetema Big G kwa karanga za kuonjeshwa sasa nenda kwa hao kina Magu na Polepole wakukopeshe. Hata mwezi baada ya uchaguzi bado ushaanza kulia njaa? Akapikie Watoto Fly Over na Bombardier.
safi sana mkuu, nimeipenda sana hii! 🤣 🤣
 
Huyu ni rafiki yangu wa kitambo. Alikuwa Mwana-CHADEMAmzuri na mpigania haki kweli kweli. Basi likaja lile wimbi la wapinzani kununuliwa na CCM akasepea ccm kuunga juhudi. Nikawa namcheki tu

Uchaguzi umekuja akawa mstari wa mbele kuikandia chadema na kuipaka matope wakati ndiyo iliyomtoa jalalani. Akawa MwanaCCM machachari kuliko hata wenye chama chao. Nikawa namcheki tu

Basi uchaguzi umeisha anakuja kwangu analialia alivyofulia, maisha yalivyomuwia magumu maana wajumbe walimkatilia mbali, eti anataka nimkopeshe pesa walau akawanunulie Watoto Ugali

Sikumchelewesha nikampa makavu laivu, nikamwambia umeshiriki kuwadhurumu watanzania na kuikana kweli kisa vipande vya fedha

Umetema Big G kwa karanga za kuonjeshwa sasa nenda kwa hao kina Magu na Polepole wakukopeshe. Hata mwezi baada ya uchaguzi bado ushaanza kulia njaa? Akapikie Watoto Fly Over na Bombardier.

Nikamwambia sikukopeshi hata mia shubaamit na urafiki ufe

Dawa ya hawa wasaliti wa haki ni kuwafungia vioo. Walidhani watakuwa na bei zao special za cement, sukari nk, kumbe tunakuja kusota nao hukuhuku mtaani

Demokrasia sio utumwa mkuu. Hii ni sawa kumnunua na kufanya mtu mtumwa wa imani yako
Ingekua watu tunaishi hivyo hata wewe kuna sehemu ungekosa msaada
 
Mbona yeye ana akili kuliko wewe bro! wewe unaonekana mropokaji tu usiye na kitu kichwani!
Sasa Mbeligiji ana akili gani!? Anashindwa hata na DJ Mbowe kwenye Public speaking,Mbowe anajua kuongea na kukosowa kwa hoja kuliko huyo Mbeligiji wenu yeye kila saa Kama anafoka tuu,hata haeleweki! Msikilizeni Mbowe Mbeligiji atawapoteza kwenye Reli mliokua mnakwenda nayo vizuri!!
 
Kumwambia sina hela haitoshi. Ni lazima ajue kuwa hela ninayo ila simpi kwa sababu ya unafiki wake
Mambo hubadilika lakini. Ikitokea na wewe una uhitaji na yeye ndio msaada hata akikupa usipokee mwaya
 
Tusifike Huko,Zanzibar Haya Mambo Wakati Fulani Yaliwapa Tabu Sana Ikafikia Hatua Mbaya Mno
Mwanachama Wa CUF Alikuwa Hawezi Kumzika Wa CCM
Pia Ilikuwa Kuoa/Kuolea Na Mtu Wa Chama Tofauti Haiwezekani.

Mpaka Wakatafuta Maridhiano
Tumeshafika na ccm ndiyo iliyotufikisha hapa
 
Huyu ni rafiki yangu wa kitambo. Alikuwa Mwana-CHADEMAmzuri na mpigania haki kweli kweli. Basi likaja lile wimbi la wapinzani kununuliwa na CCM akasepea ccm kuunga juhudi. Nikawa namcheki tu

Uchaguzi umekuja akawa mstari wa mbele kuikandia chadema na kuipaka matope wakati ndiyo iliyomtoa jalalani. Akawa MwanaCCM machachari kuliko hata wenye chama chao. Nikawa namcheki tu

Basi uchaguzi umeisha anakuja kwangu analialia alivyofulia, maisha yalivyomuwia magumu maana wajumbe walimkatilia mbali, eti anataka nimkopeshe pesa walau akawanunulie Watoto Ugali

Sikumchelewesha nikampa makavu laivu, nikamwambia umeshiriki kuwadhurumu watanzania na kuikana kweli kisa vipande vya fedha

Umetema Big G kwa karanga za kuonjeshwa sasa nenda kwa hao kina Magu na Polepole wakukopeshe. Hata mwezi baada ya uchaguzi bado ushaanza kulia njaa? Akapikie Watoto Fly Over na Bombardier.

Nikamwambia sikukopeshi hata mia shubaamit na urafiki ufe

Dawa ya hawa wasaliti wa haki ni kuwafungia vioo. Walidhani watakuwa na bei zao special za cement, sukari nk, kumbe tunakuja kusota nao hukuhuku mtaani
Safi Sana,ungempiga na keleb moja matata ka pisi kali
 
Dah....ukweli mchungu...bila kujali madhara yatakayoletwa na uongozi wa kisiasa...wanaouchukulia mambo ya siriaz Bongo hawazidi 10,000.. nao wanachukulia hivyo kwasababu maisha yao yanategemea shughuli hizo...upambe...ujumbe...udiwani...Ubunge nk.
Kundi lililobaki siasa ni utani tu wa kujifurahisha na kujamiiana tu...unaweza kumkuta mtu anaishabikia CCM lakini hata masharti ya kuwa mwanachama hayajui....ni kama Simba na Yanga tu...mtu yupo CCM au CDM bila ya sababu ya maana...ndiyo maana hata matokeo yakitoka watu huendelea kutaniana tu....
Ukweli mchungu ambao hata Robati na mteja wake hawaujui
 
Kumwambia sina hela haitoshi. Ni lazima ajue kuwa hela ninayo ila simpi kwa sababu ya unafiki wake

nawewe unaamini katika kupata pesa sababu unashabikia chama fulani!!!!!
yaani tungeichagua chadema basi kila mtu angejazwa mihela???
 
Naamini katika kweli na haki

Kama kushabikia ccm hakuna pesa mbona alinunuliwa akaunga mkono juhudi? Wakati huo alijiona mjanja na wajumbe walimuaminisha wangemchagua kumbe walikuwa wanamchora tu. Sasa wamemtupa kama toilet paper ndo anakuja kwangu? Anikome kabisa
 
Back
Top Bottom