Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,301
Maridhiano ni upumbavu. Juno KWA jinoTusifike Huko,Zanzibar Haya Mambo Wakati Fulani Yaliwapa Tabu Sana Ikafikia Hatua Mbaya Mno
Mwanachama Wa CUF Alikuwa Hawezi Kumzika Wa CCM
Pia Ilikuwa Kuoa/Kuolea Na Mtu Wa Chama Tofauti Haiwezekani.
Mpaka Wakatafuta Maridhiano