...Nikamwambia nenda kwa Polepole akukopeshe

Huu ni upumbavu,kuna maisha nje ya siasa usimulazimishe mtu apende kile unachotaka ww,ni ufala tu.
Yeye kuwa CCM kuna kuhusu nn,kwa nn ww ulikuwa upande wa pili.
Kama huna pesa ni bora ukatumia busara ya maneno ,sio kuleta kejeli za kipumbavu kama hzo.
 
Mtu kaambiwa kakope kwa polepole, minafiki inaanza ohh siasa si uadui Mara nyoro imefanyeje! Hivi lissu si alipigwa risasi Sababu ya siasa? Lissu na lema si wanatishiwa maisha mpaka wamekimbia nchi Sababu ya siasa? Si kuna watz kibao wameuwawa na wengine mpaka dakika hii wapo selo Sababu ya siasa? Mbona hamtoki hadharani kumwambia rais, siro, mapolisi na wanaccm kuwa siasa si uadui?
 
Huyu ni rafiki yangu wa kitambo. Alikuwa mwanachadema mzuri na mpigania haki kweli kweli. Basi likaja lile wimbi la wapinzani kununuliwa na ccm akasepea ccm kuunga juhudi. Nikawa namcheki tu

Uchaguzi umekuja akawa mstari wa mbele kuikandia chadema na kuipaka matope wakati ndiyo iliyomtoa jalalani. Akawa mwanaccm machachari kuliko hata wenye chama chao. Nikawa namcheki tu

Basi uchaguzi umeisha anakuja kwangu analialia alivyofulia, maisha yalivyomuwia magumu maana wajumbe walimkatilia mbali, eti anataka nimkopeshe pesa walau akawanunulie watoto ugali

Sikumchelewesha nikampa makavu laivu, nikamwambia umeshiriki kuwadhurumu watanzania na kuikana kweli kisa vipande vya fedha

Umetema big g kwa karanga za kuonjeshwa sasa nenda kwa hao kina Magu na Polepole wakukopeshe. Hata mwezi baada ya uchaguzi bado ushaanza kulia njaa? Akapikie watoto fly over na bombardier...pumbav

Nikamwambia sikukopeshi hata mia shubaamit na urafiki ufe

Dawa ya hawa wasaliti wa haki ni kuwafungia vioo. Walidhani watakuwa na bei zao special za cement, sukari nk, kumbe tunakuja kusota nao hukuhuku mtaani
Mie nyumbani kwangu nina kisima cha maji safi na kama unavyojua ukame wa hapa Dom sasa majirani walishazoea kuchota maji kwangu ila siku hizi wale vihelehele wote waliokuwa wanavaa khanga za kijani na mitandio nimepiga marufuku kuchota maji kwangu !
Haya maji wanachota malofa wenzangu wapenda mabadiriko.
 
Huyu ni rafiki yangu wa kitambo. Alikuwa mwanachadema mzuri na mpigania haki kweli kweli. Basi likaja lile wimbi la wapinzani kununuliwa na ccm akasepea ccm kuunga juhudi. Nikawa namcheki tu

Uchaguzi umekuja akawa mstari wa mbele kuikandia chadema na kuipaka matope wakati ndiyo iliyomtoa jalalani. Akawa mwanaccm machachari kuliko hata wenye chama chao. Nikawa namcheki tu

Basi uchaguzi umeisha anakuja kwangu analialia alivyofulia, maisha yalivyomuwia magumu maana wajumbe walimkatilia mbali, eti anataka nimkopeshe pesa walau akawanunulie watoto ugali

Sikumchelewesha nikampa makavu laivu, nikamwambia umeshiriki kuwadhurumu watanzania na kuikana kweli kisa vipande vya fedha

Umetema big g kwa karanga za kuonjeshwa sasa nenda kwa hao kina Magu na Polepole wakukopeshe. Hata mwezi baada ya uchaguzi bado ushaanza kulia njaa? Akapikie watoto fly over na bombardier...pumbav

Nikamwambia sikukopeshi hata mia shubaamit na urafiki ufe

Dawa ya hawa wasaliti wa haki ni kuwafungia vioo. Walidhani watakuwa na bei zao special za cement, sukari nk, kumbe tunakuja kusota nao hukuhuku mtaani
Sasa mkuu....
Alipewa chake ile kununuliwa kutoka Chadema kwenda Ccm?

Kama hakupewa amfuate polepole pale Lumumba akamuombe ya dona

Siasa ni mchezo mchafu sana
 
Tusifike Huko,Zanzibar Haya Mambo Wakati Fulani Yaliwapa Tabu Sana Ikafikia Hatua Mbaya Mno
Mwanachama Wa CUF Alikuwa Hawezi Kumzika Wa CCM
Pia Ilikuwa Kuoa/Kuolea Na Mtu Wa Chama Tofauti Haiwezekani.

Mpaka Wakatafuta Maridhiano
Duu aisee kweli?
Sasa hapo dini ili apply vipi kwa itikadi za vyama badala ya vya dini
 
Unauwezo mdogo sana wa kufikiri na maamuzi ya kipumbavu. Unawezaje kufanya maamuzi ya hovyo kiasi hicho kisa siasa? Hutakiwi kuendeleza milengo ya kisiasa hatà baada ya hayo kupata.
Wewe unashangaa huyo kumnyima mkopo huyo jamaa yake kisa siasa ila hushangai watu kuuliwa na kufungwa kwenye sandarusi na kutoswa baharini na wasiojulikana kisa siasa? au kufanya mauaji kule pemba kisa siasa.

Itoshe kusema wewe ndio 'mpumbavu' mkubwa!
 
Huu ni upumbavu,kuna maisha nje ya siasa usimulazimishe mtu apende kile unachotaka ww,ni ufala tu.
Yeye kuwa CCM kuna kuhusu nn,kwa nn ww ulikuwa upande wa pili.
Kama huna pesa ni bora ukatumia busara ya maneno ,sio kuleta kejeli za kipumbavu kama hzo.
Yaani nitumie busara wkt hela ni zangu?

Mitano tenaaaaaa mwanawane,kila mtu ale alikopeleka mboga arifu.
 
Wewe unashangaa huyo kumnyima mkopo huyo jamaa yake kisa siasa ila hushangai watu kuuliwa na kufungwa kwenye sandarusi na kutoswa baharini na wasiojulikana kisa siasa? au kufanya mauaji kule pemba kisa siasa.

Itoshe kusema wewe ndio 'mpumbavu' mkubwa!
Naunga mkono hoja kwa 100% mkuu.
 
Kama ni rafiki yako wa kudumu, bora ungemnunulia unga apeleke home. Maana wanaoumia apo ni madogo na wife.
 
Huyu ni rafiki yangu wa kitambo. Alikuwa mwanachadema mzuri na mpigania haki kweli kweli. Basi likaja lile wimbi la wapinzani kununuliwa na ccm akasepea ccm kuunga juhudi. Nikawa namcheki tu

Uchaguzi umekuja akawa mstari wa mbele kuikandia chadema na kuipaka matope wakati ndiyo iliyomtoa jalalani. Akawa mwanaccm machachari kuliko hata wenye chama chao. Nikawa namcheki tu

Basi uchaguzi umeisha anakuja kwangu analialia alivyofulia, maisha yalivyomuwia magumu maana wajumbe walimkatilia mbali, eti anataka nimkopeshe pesa walau akawanunulie watoto ugali

Sikumchelewesha nikampa makavu laivu, nikamwambia umeshiriki kuwadhurumu watanzania na kuikana kweli kisa vipande vya fedha

Umetema big g kwa karanga za kuonjeshwa sasa nenda kwa hao kina Magu na Polepole wakukopeshe. Hata mwezi baada ya uchaguzi bado ushaanza kulia njaa? Akapikie watoto fly over na bombardier...pumbav

Nikamwambia sikukopeshi hata mia shubaamit na urafiki ufe

Dawa ya hawa wasaliti wa haki ni kuwafungia vioo. Walidhani watakuwa na bei zao special za cement, sukari nk, kumbe tunakuja kusota nao hukuhuku mtaani
Wwe Akili zako hazina Akili!!
 
Safi sana mkuu hata mimi kuna kenge mmoja namsubiri aingie kwenye kumi na nane nimmalize
Kuna kenge mwingine alikuwa kila siku anapost madudu ya ccm nilimpa onyo hakunielewa, sasa ikawa kuna kazi ya muda mfupi kama masaa 20 tupate 3m ila mimi ndio naiunganisha, kwa hasira nikaipiga chini tukose wote, jamaa mpaka sasa haamini na hana kitu
 
Back
Top Bottom