Nikafungue wapi RB? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikafungue wapi RB?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kalaghesye, Jul 29, 2012.

 1. kalaghesye

  kalaghesye Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mwenzenu niko njia ya panda. Baada ya kuona vibaka wanasota magerezani lakini wahujumu uchumi, wala rushwa na mafisadi wanatesa Bungeni, nimeanza kuona umuhimu wa kuripoti polisi ili walau wafikishwe mahakamani na sisi wananchi maana Serikali haitaki.

  Nikaripoti wapi jamani?!
   
 2. kalaghesye

  kalaghesye Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mwenzenu niko njia ya panda. Baada ya kuona vibaka wanazota magerezani lakini wahujumu uchumi, wala rushwa na mafisadi wanatesa Bungeni, nimeanza kuona umuhimu wa kuripoti polisi ili walau wafikishwe mahakamani na sisi wananchi maana Serikali haitaki.

  WNikaripoti wapi jamani?!
   
Loading...