Afande Bellick
Member
- Apr 23, 2025
- 17
- 16
Nenda kachukuwe bank statement halafu nitakwambia kitu, unaweza usikute hata mia humo.Habari zenu. Nina account mbili za miongoni mwa benki kubwa hapa nchini.
Kati ya hizo account mbili ni Moja pekee huwa naitumia mara Kwa mara Kwa kuweka na kutoa pesa.
Kuanzia mwezi April mwaka Jana Ile account ambayo siitumii mara Kwa mara imekuwa ikipokea pesa ambazo sijui mtumaji ni nani.
Kwa kuwa nimejiunga na sim banking nimekuwa natumiwa msg Kila pesa zinapoingia na nilikuwa napuuza nikiamini kama nimtu au benki wenyewe wamekosea watanitafuta ila kinyume chake hakuna anayenitafuta na pesa inaendelea kuingia Kwa nyakati tofauti tofauti.
Pesa hii inaweza kuingia hata mara mbili ndani ya mwezi na huwa inabadilika kiwango Kwa Kila muamala, mfano mwezi huu inaweza iingie laki 3,mwezi mwingine elfu60 n.k.
Nawaza niende benki husika kuwaeleza, niitumie au niendelee kuisikilizia japo tangu ianze kuingia huu ni mwaka Sasa.
Kwahiyo wanachekecha hapo mkuu.Hawa watoto wanaotoka chuo miezi sita ya kuajiliwa bank anataka aendeshe tako la nyani.
At his own risk. Bora asizitumie
Bankers wana michezo mingi ya ndani.Kwahiyo wanachekecha hapo mkuu.
Hatari sana...Bankers wana michezo mingi ya ndani.
afande,kituo chako kilipokea vipi habari ya kutekwa mdude?Habari zenu. Nina account mbili za miongoni mwa benki kubwa hapa nchini.
Kati ya hizo account mbili ni Moja pekee huwa naitumia mara Kwa mara Kwa kuweka na kutoa pesa.
Kuanzia mwezi April mwaka Jana Ile account ambayo siitumii mara Kwa mara imekuwa ikipokea pesa ambazo sijui mtumaji ni nani.
Kwa kuwa nimejiunga na sim banking nimekuwa natumiwa msg Kila pesa zinapoingia na nilikuwa napuuza nikiamini kama nimtu au benki wenyewe wamekosea watanitafuta ila kinyume chake hakuna anayenitafuta na pesa inaendelea kuingia Kwa nyakati tofauti tofauti.
Pesa hii inaweza kuingia hata mara mbili ndani ya mwezi na huwa inabadilika kiwango Kwa Kila muamala, mfano mwezi huu inaweza iingie laki 3,mwezi mwingine elfu60 n.k.
Nawaza niende benki husika kuwaeleza, niitumie au niendelee kuisikilizia japo tangu ianze kuingia huu ni mwaka Sasa.
Ndg raia,rudi kwenye mada yangu tafadhali. Anyways,hivi hujasikia mheshimiwa flani akifafanua kuwa baadhi ya matukio sio utekaji bali ni 'Store away'?afande,kituo chako kilipokea vipi habari ya kutekwa mdude?
Kama ni hivyo inamaana nikienda Kwa viongozi wakubwa wa benki hiyo kuna jipu/uozo utafichuka (Kam wahusika ni wangazi za chini)Watu wa bank wamefanya yao mkuu
Nakupa akaunt pm.Kama ni hivyo inamaana nikienda Kwa viongozi wakubwa wa benki hiyo kuna jipu/uozo utafichuka (Kam wahusika ni wangazi za chini)
Kama kuna michezo kama hii hatupo salama sana.Nitajaribu kufatilia nijue hizo pesa zipo au ni kweli kuna janja janjaHiyo pesa kwenye akaunti yako inapita njia tu mkuu. Kuna muhasibu hapo anaiba.
Kama huamini kachukue statement uone kama kuna hela.
Kama unatumia sim banking angalia salio chapKama kuna michezo kama hii hatupo salama sana.Nitajaribu kufatilia nijue hizo pesa zipo au ni kweli kuna janja janja
Duuuh! Kwa ulivyosoma mada yangu naonekana kama mwehu flanie?Nakupa akaunt pm.
Hamisha hiyo pesa kwenda humo.
Bila hivyo utaipoteza hiyo pesa.
Hamisha then tuzungumze