nijuzwe kidogo juu ya hili

nijuzwe kidogo juu ya hili

isyesye

Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
51
Reaction score
22
habari wakuu ningeomba nijue bei ya kopo za kuuzia juice zile disposable kwa dar bei ya jumla ni shngapi na bei ya take away za kuwekea chakula zile zenye rangi ya silva mfuniko wake kwa ndan unakuwa mweupe.
natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom