Nijuzeni kuhusu "Jambazi" Kasusura

Alikosea kukesha kwa waganga wa kienyeji ili eti asikamatwe,pili kuwahonga mapolisi jamaa alikua anatembea na escort kabisa.Zile ilipaswa aende DRC aanze maisha huko anunue madini kwa dola zile.Kisha atulie auze kidogo kidogo
 
Kususura ni mtusi wa Rwanda. Ndugu zake wengi wamesharudi kwao kasoro amabo wa fema tv talk show. Alizaliwa mapacha, kulwa na doto, mwenzake alikwisha tangulia mbele za haki. Maisha yake kwa kipindi kirefu alikuwa akiishi kurasini then akaamia keko mwanga.
Kasusura ni mpole sana kwa ambao tunamfahamu, hii sifa ndio ilimfanya aaminike sana kwa ofisi aliyo kuwepo ya securty
Kasusura ni mtanzania si Mtusi wa Rwanda. Kumbuka baba yake mkubwa Marehemu Chifu Stanislaus Rugaba Kasusura alikuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mingi akiwa na Chifu Sapi Mkwawa.
 
Kasusura yupo jela na bado ameomba Case Review hivyo bado anapambana mahakamani
Okay,ngoja tutaona kama kaomba na hiyo review!!
Mimi huyu jamaa mara ya mwisho nilisikia kafia jela.....anyway jamaa alimake headline sana miaka hiyo!!
 
Justine Kasusura, alikuwa dereva wa gari linalo beba hela cash mali ya kampuni moja ya ulinzi toka nje ya nchi, aliweza kutoweka na mzigo wa fedha zikiwa katika noti dola pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar es salaam, alikuwa kila akikamatwa alihonga pesa nyingi maaskari, ikawa kama muvi akiondoka wana mkamata tena halafu anahonga tena hatimaye akikamatwa jijini Mbeya katika nyumba ya wageni. Alishindwa kesi alifungwa miaka 30,kampuni aliyokuwa akifanyia kazi iliingia katikati wakati mgumu mpaka ikaondoka nchini.
 
Kasusura ni mtanzania si Mtusi wa Rwanda. Kumbuka baba yake mkubwa Marehemu Chifu Stanislaus Rugaba Kasusura alikuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mingi akiwa na Chifu Sapi Mkwawa.
Mkapa ni mtanzania?? Kuwa kiongozi aikuondolei wewe kutokuwa mtanzania. Embu niambie Alex mdogo wake kasusura sasa hivi yupo wapi?
 
Hapana hajafariki yupo, ila alifiwa na pacha wake.
Mkuu bullet kama hutojali,huyo pacha wake kafariki mwaka gani?maana kuna jamaa nikimjua alikuwa anafanana sana na Kasusura alikuwa hapendi kabisa kusikia akifananishwa nae na ni muda kidogo sijamuona..naomba ufafanuzi kaka.
 
Ni kati ya 2001 au 2002 ndipo alifariki. Sina uhakika na timing ya kifo chake, ila kufanana inawezakana kama ni jamaa yake kwa sababu katika koo zile ndugu wa kiume walikuwa wanaoa ndugu wa kike. Hiyo kufanana ni possible kabisa.
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu..
 
Back
Top Bottom