Nijuzeni kuhusu "Jambazi" Kasusura

Kususura ni mtusi wa Rwanda. Ndugu zake wengi wamesharudi kwao kasoro amabo wa fema tv talk show. Alizaliwa mapacha, kulwa na doto, mwenzake alikwisha tangulia mbele za haki. Maisha yake kwa kipindi kirefu alikuwa akiishi kurasini then akaamia keko mwanga.
Kasusura ni mpole sana kwa ambao tunamfahamu, hii sifa ndio ilimfanya aaminike sana kwa ofisi aliyo kuwepo ya securty
 
Heshima kwenu wakuu.

Binafsi nawakubali members wa Jamiiforums kwa kutoa habari zenye details za kutosha.
Back to the topic, muda sasa nimekua nikisia story za vijiweni kuhusu askari aliyetambulishwa kama Kasusula ambaye alikua ana escort pesa za kigeni kutoka JKIA then akawateka wenzake na kuiba pesa zooote.
Sasa ningependa kupewa Ukweli na detailed information kuhusu Kasusula na tukio zima la wizi wa madola.
Natanguliza shukrani.
Nijuzeni kuhusu "Jambazi" Kasusura
 
Kasusura alikuwa bwege fulani pale Knight Security, alichora mchongo mzuri kwake akapora dolar za marekani za kushiba then akaanza kula maisha kama vile hakuna kilichotokea na mwisho akadakwa kama kuku wa Pasaka
 
Aliitwa Joseph Kasusura.....ha ha ha ha ha huyu jamaa alikuwa balaa ni kati ya wizi uliowahi kutikisa hapa nchini ila kama sijasahau alifia gerezani akiwa tayari ashahukumiwa kifungo cha maisha jera!!
 
Kasusura hata sumbawanga alikuja alifikia Guest inaitwa Rukwa by Night ya jamaa mmoja anaitwa Moshesh Mwamlima.Kasusura alikuwa anacheza Na mapolisi kuwapa mkwanja wakitaka kumkamata hatimae Mbeya ndio ulikuwa mwisho wake alikamatwa .
 
Hivi Rukwa by Night bado IPO??
 
Aliitwa Joseph Kasusura.....ha ha ha ha ha huyu jamaa alikuwa balaa ni kati ya wizi uliowahi kutikisa hapa nchini ila kama sijasahau alifia gerezani akiwa tayari ashahukumiwa kifungo cha maisha jera!!
Kasusura hakufungwa maisha, amefugwa miaka 30. Mungu akimjalia uhai atatoka akiwa babu
 
Back
Top Bottom