Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
Hongera CM..Guys,
September naingia miaka 30 kwa hiyo nipo kwenye kumalizia my 20s [emoji4]
Nikifikiria nakua Excited and Nervous at the same time,
What does it feel like to be in 30s? will my skin change? will my brain change? will i grow wrinkles?
Natakiwa nibadilishe kipi kwenye maisha yangu ili niendane na miaka yangu (sitaweza kuacha kuangalia Cartoon and Animations tho [emoji1][emoji119]),
Wengine walisema nibadili jinsi ya kulala eti nilalie mgongo sio tumbo kuavoid wrinkles [emoji848]
Kuna hizi Facial Serum, ni sawa nikianza kuzitumia au nitazidi kuharibu ngozi yangu [emoji134],
Too Many Questions hunh!
Lol, i'm confused,
Ambao mpo kwenye 30s au zaidi mnaweza kutoa uzoefu wenu ulijipangaje kuingia kwenye 30s na ulijisikiaje ulipofika 30?
View attachment 2190434
She uyo,hauoni chuchu saa sitanakutazamaga kama she kumbe ni he
Thank you Sky,Mwandalie yule mtoto wako future bora, tunza afya yako and be you. Happy Birthday.
Thank you my dear Yna,hongera kuingia 30..mazoezi muhimu mno
Thank you my dear Chakorii,Hongera CM..
Fanya mazoezi,kula vizuri,kufunga na yenyewe pia ni Dawa.
Happy birthday
[emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri,
Mie nimeingia mwaka jana, ila sikuwahi kuiwazia 30 yangu sababu niliona hakuna kipya, nitawaza nikikaribia 50 ila 30 bado kijana sana mwenye nguvu tele ukianza kuifikiria utazeeka upesi,
Face Serum wanashauri lakini mimi natumia za asili Alovera gel na Banana, Unga wa Liwa na Unga wa Manjano,
Kama una ngozi kavu paka sana mafuta sababu wrinkles ni rahisi kutokeza, kaa mbali na jua, paka sunscreen hasa mikononi,
Jenga nyumba, nunua gari, wekeza zaidi kwenye real estate, usikose pesa ya kwenda vacay, pata muda wa kupumzika, usiruhusu stress na masononeko.
Welcome kwenye 30s club.
Mbona ghafla sananakutazamaga kama she kumbe ni he
Kheeeeeee! chuchu tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]She uyo,hauoni chuchu saa sita
Kilimo sikiweziiiMiaka Yako Uifurahie Njoo Njombe Tulime Vanilla
Ingia 30 ukiwa na kwako, familia yako, usafiri na Furaha ya moyo.Guys,
September naingia miaka 30 kwa hiyo nipo kwenye kumalizia my 20s [emoji4]
Nikifikiria nakua Excited and Nervous at the same time,
What does it feel like to be in 30s? will my skin change? will my brain change? will i grow wrinkles?
Natakiwa nibadilishe kipi kwenye maisha yangu ili niendane na miaka yangu (sitaweza kuacha kuangalia Cartoon and Animations tho [emoji1][emoji119]),
Wengine walisema nibadili jinsi ya kulala eti nilalie mgongo sio tumbo kuavoid wrinkles [emoji848]
Kuna hizi Facial Serum, ni sawa nikianza kuzitumia au nitazidi kuharibu ngozi yangu [emoji134],
Too Many Questions hunh!
Lol, i'm confused,
Ambao mpo kwenye 30s au zaidi mnaweza kutoa uzoefu wenu ulijipangaje kuingia kwenye 30s na ulijisikiaje ulipofika 30?
View attachment 2190434
Kilimo sikiweziii
Endelea kula ujana lakini Kwa tahadhari😂wow! My Queen
Nitaanza hizo serums za asili, alovera gel na banana nina blend pamoja??
Shukrani sana kumbe sitakiwi kua worried hadi miaka 50 basi acha niendelee kula ujana [emoji3060][emoji3060]
Yes dear, banana na Alovera gel una blend pamoja waweza kuweka na asali mbichi, osha uso wako kwa maji safi na sabuni, ukaushe halafu upake mchanganyiko wako, kaa nao muda wowote uwezavyo hakuna madhara hadi ukijisikia kunawa utanawa kwa maji ya vugu vugu,wow! My Queen
Nitaanza hizo serums za asili, alovera gel na banana nina blend pamoja??
Shukrani sana kumbe sitakiwi kua worried hadi miaka 50 basi acha niendelee kula ujana [emoji3060][emoji3060]
Thank you Bro,Ingia 30 ukiwa na kwako, familia yako, usafiri na Furaha ya moyo.