Pocahontas
Member
- Jan 30, 2019
- 46
- 49
Following[emoji102] [emoji102]Wapendwa habari zenu,
Napika chakula majumbani,
Kama unawageni na unatamani ungewapikia vyakula tofauti tofauti lakini huwezi au muda mdogo wewe niite nikupikie,
Kama una tamani familia yako ingepata lunch au dinner ya aina fulani wewe niite nikupikie.
Napika vyakula vya aina zote kwa bei nafuu sana.
Napatikana Dar es salaam Tanzania.
Mawasiliano 0745438007.
Karibuni.
Utapikiwa usijali.Na kama niko ghetto mwenyewe sina familia!??
Haina shida, huduma ni kwa wateja wa aina zote.Kwa sisi tuishio kisela (hatuna wake) pia tukihitaji huduma hiyo mchana na usiku tunapata? Maana kula hotelini kunachosha.
Karibu sana.
Hapana, huduma hii ni kwa wateja wa dar.Tarime unafika?
So am assuming hizi services ni za dar tu?so ukiwa outside Tz hakuna hata haja ushughulike?just an addition your number ni kenyan ndo maana nashangaaKaribu sana.
Hapana, huduma hii ni kwa wateja wa dar.
Namba ni vodacom ya Tz,So am assuming hizi services ni za dar tu?so ukiwa outside Tz hakuna hata haja ushughulike?just an addition your number ni kenyan ndo maana nashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana.Heeee hii huduma ndo naiyona leo nimezoea kwenye maharusi na masherehe tu, Vijana changamkieni fursa
Oooh i didnt know that i thought 07......ni za hapa tu,hio ni poa,atleast umeanzia somewhere,hope u get clients,and utawapata coz you have the right attitudeNamba ni vodacom ya Tz,
Huduma ipo Dar sababu ndio makazi yangu, bado sijatanuka nje ya hapa ila naamini ipo siku.
Thank you so much Latimore.Oooh i didnt know that i thought 07......ni za hapa tu,hio ni poa,atleast umeanzia somewhere,hope u get clients,and utawapata coz you have the right attitude
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ID ni picha yako eeehKaribu sana.
Hapana, si yangu.Hiyo ID ni picha yako eeeh
Sio Maid ni mpishi, unaniita ukihitaji kupikiwa chakula basi.Je nikikuhitaji wewe binafsi unipikie siku nzima kwa wiki 2 inawezekana? Kwa maana unawepo kwangu kwa wiki 2
[emoji102] Ufisi nayo[emoji2] [emoji2] uko tu fiti kwa raha zakoHiyo ID ni picha yako eeeh