Niishije ishije kwenye hiyo miaka iliyobakia?

Niishije ishije kwenye hiyo miaka iliyobakia?

Una umri gani, mpaka useme umebakiza 40? Makadirio ya umri wa kuishi bongo ni miaka mingapi? 63?
Km ndio, we una 23 sasa hivi?
Enjoy maisha kijana, kula maisha, kikubwa heshimu wote, penda wote, tunza afya, fanya ngono salama, kula vizuri.. kula bata kwa kipato chako.
Wekeza sehemu ya kipato chako.
Tenda wema kwa sana, ishi vizuri na jamii iliyokuzunguka.
Ukitoa, toa na sahau, ukipewa pokea ila usisahau.

Kila la kheri

Usisahau kupiga pumbu uache kopi duniani
 
Back
Top Bottom