Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,711
- 63,396
- Thread starter
- #21
Kuondoka ni haki ya msingi kwa kila mmoja.Acha kujiwekea Sheria ngumu kijana, ishi muda ukifika utaondoka tu
Kuondoka ni haki ya msingi kwa kila mmoja.Acha kujiwekea Sheria ngumu kijana, ishi muda ukifika utaondoka tu
Nauza vitu vyangu vyote nawagawia masikiniMlejee Muumba wako, kama una amini katika Mungu
Na kwako pia, umebakiza miaka mingapi?
Wao wamebakiza miaka mingapi?Support MANCHESTER UNITED raha burudani
Uza vitu vyako vyote uwagawie masikiniMrejee mola wako **** kufa ujue wenye kauli hii wapo njian wanakuja
Nipe mbinu mzee wetuWe ishi tu mdogo etu
Umebakiza miaka mingapi?Tatizo tunaweza kukupa ushauri wa kuishi hiyo miaka 40 ila Mungu akakuchukua kesho tu,
Hapo itakua tumefanya kazi ya bure tu.
Uza vitu vyako vyote uwagawie masikiniIshi tu.. anko ma fix
Nimepata maono mkuuUmejuaje kwamba imebaki 40 mkuu!
Mambo mama lake, ila huwa nakupenda jmniWe ishi tu mdogo etu
Hakuna mbinu, Just be! Follow ur hopes not ur fears! Don’t sweat the small stuff! Try to enjoy every minute everyday!Nipe mbinu mzee wetu
Ngoja nitafute mchepukoHakuna mbinu, Just be! Follow ur hopes not ur fears! Don’t sweat the small stuff! Try to enjoy every minute everyday!
All in all life has no rehearsal!
Ishi tu, bu stick to ur lane..
Safi sana ApostleNauza vitu vyangu vyote nawagawia masikini
Unatafutia wapi nikusindikize?Ngoja nitafute mchepuko
Humu humuUnatafutia wapi nikusindikize?
Twende sasa..Humu humu
Vitu vyangu Gani. Ni hii simu na godoro my lord..Uza vitu vyako vyote uwagawie masikini
Ushaanza ujinga, huenda kamnyweso kana kufanya usahau 😅Karibu sana maana dah...sijatongozwa siku nyingi sijui tatizo nini