Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,508
- 2,058
- Thread starter
-
- #61
There are no freemasons in Africa
Ili kuondoa upotoshaji juu ya kile ambacho nakifaham na kinapotoshwa
Ni kipi kinapotoshwa?
Fremason ni dini ya kuabudu shetani!
Mtoa mada umesema sio dini, je mtu anaweza kuwa freemason wakati anaendelea kuabudu katika dini yake ya kawaida?
Kipindi cha ukoloni kafara zote zilikwenda kwa shetani!Kwan kafar zetu kabla ya ukoloni,ama akina ibrahim na musa walitoa kwa nani??
Humjui shetani, na sijui ktk dini yao umekwenda kutafuta nini! Na kwa mantiki hiyo nadhani hata maana ya kafara hujui!!! Na kama unajua niambie, kafara ni nini?Kuhusu shetan nimeuliza maana inawezekana ninavyomjua mimi ni tofauti na wewe,
Mfano,mi najua shetani ni WAZO/FIKRA/Imani,na sio lazima liwe baya la!, shetani ni kama nadhalia ama DHAHANIA,sijui kama unanielewa kwa kiswahili hicho rahisi kabisa.
Shetani ni viumbe walioumbwa kwa moto!haya we niambie shetan ni nai??
Nikikwambia ueleze uujuavyo ukristo ama uislam kwa bila kutumia vitabu ama source yoyote .na kisha ukanielezea hapo hapo japo hata mistar kumi tu ndo nilichomaanisha mkuu
Huu ni mpango wa kumtambulisha shetani na taasisi zake. Kwa nini usiandike umjuavyo Mungu na kazi zake?
Uchambuzi wako ni mwepesi sana,nadhani bado haujakijua vizuri ulichoandika
Sorry your very shalow?
Aisee!
Yani wewe hao mafrimason washakupokonya akili zote! Wamekuachia za kula ugali tu!
Nalog off!