Niijuavyo Freemasonry

Kama umeona inakufaa endelea nayo, usitake kuangamiza watu. Umeshakufa tayari hujitabui tu!
 
Wakuunge ukafanye nini?
Hawaungi watu wasio na muelekeo wa maisha,wanaunga watu wanaoweza kuwasaidia binadamu wengine kufikia malengo yao.
Sawa, naomba unijibu maswali mafupi tu yafuatayo:-

- Wewe umeyajuaje Haya? Uliyathibitisha?

- Kwa mfano ni nani aliyeungwa akawasaidia wengine kufikia malengo yao?

-Nitajie na huyo/hao waliofikishwa kwenye malengo yao na Freemasons.

Usiende kugoogle na kuleta taarifa ambazo wewe hujazithibitisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikigoogle nikaleta taarifa ambazo zimethibitishwa utaziamini?
 
Unajuaje habari ya mtandaoni imethibitishwa? Kwa mfano inapotoka taarifa ya serikali kwenye mtandao kwamba Mwigulu amechaguliwa kuwa waziri,wewe unafahamu vipi ni ya kweli?
Wewe una uhakika gani kama zimethibitishwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umejibu vzr. Big up Yoda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikigoogle nikaleta taarifa ambazo zimethibitishwa utaziamini?
Mi nawachora tu. Mpambano mkali.....

Sent using myLG leon
 
Unajuaje habari ya mtandaoni imethibitishwa? Kwa mfano inapotoka taarifa ya serikali kwenye mtandao kwamba Mwigulu amechaguliwa kuwa waziri,wewe unafahamu vipi ni ya kweli?
Sifahamu,

Wewe una uhakika gani na hiyo source ya taarifa yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hata huwezi kuthibitisha taarifa kama ni credible basi huwezi kusaidika,endelea tu na chai zako tusipotezeane muda.
Hahaha, mwenye chai ni wewe unayetudanganya na kushindwa kubainisha jambo unaloleta humu jamvini.

Thibitisha kuwa hizo habari zako za Freemasons ni halisi.

Hebu weka tu hata source ya huo uzushi wako.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimecheka, sidhani kama hao ni Freemasons
 
Bado hujaijua vizuri ila unahisihisi tu.
 
Kwani nani alikuambia kuwa Freemason wanamwunganisha mtu yeyote anayeenda kuulizia pale kwenye ofisini yao Posta ?



Sent using Jamii Forums mobile app
Freemason hawamuungi kila mtu, wao ndo wanakualika ujiunge, kama una rafiki member ambaye yupo tayar Freemason yeye ndo atakualika, baada ya hapo watakufanyia mahojiano wakiona unafaa utakuwa member
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…