Niijuavyo Freemasonry

unapozungumzia ujenzi wa dini, kuna msingi na nguzo, kwa hiyo na mwashi awepo, uanzishwa wa dini ambao hautazingatia misingi na nguzo ilipendekezwa, kukubalika na wengi na ya kale atakuwa huru, andiko la biblia lasema (jiwe waliloliacha waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni) so freemasons are biulders who refused the heard conner stone.
 
Nimekusoma kwa jicho la 3D

Ahsanta
 
Free ideas hebu angalia kwanza haya maandishi yako
Sasa kutokana na hayo maandishi yako hapo juu, unasema hayo umeyajua kwa akili yako na kutoa kichwani kwako halafu na baadae ukaweka na hitimisho, sasa hapa chini mdau anauliza, umeyajuaje hayo wakati umetumia akili yako, hebu muangalie hapa chini

Sijaona ukijibu hayo maswali ya mdau hapo juu, naomba majibu yake tafadhali...
 
Last edited by a moderator:

Sikumjibu kwa sababu ya matusi na kejer katik maswal yake.Huwa sijibu maswali yaliyo na matusi na kejer ndan yake.

Kuhusu kuyajuaje hayo nadhani nimeshaeleza huko juu zaidi ya mara tano.Lakini ntakujibu kwa mfano huu

Nikikwambia sasa hivi unaandikie unachojua kuhusu Mwalimu Nyerere bila kutumia rejea ama kopy na paste,kile utakachkandika papo kwa hapo ndo nilichofany.Nadhan ummelewa.
 
Last edited by a moderator:
Lakini kwa maana nyingine siwezi kumjua Nyerere kwa kutokea kichwani kwangu, inamaana either kuna habari zake nimezisikia toka sehemu au nilifanya nae kazi kwa ukaribu zaidi...

kwa hiyo na wewe inabidi ueleze umeyajuaje hayo?
 
Ukweli ni kwamba freemason in tawi dogo la mti mkubwa zaidi unaotaka kutawala dunia kwa mbinu za kijanja saana. Vikundi dada vya free masoni vipo vingi sana kwa maelfu. Lengo kuu ni MBAYA MNO!!! Watanzani wengi kwa bahati mbaya hawatambui mambo haya ila kwa kifupi hata wengi wa wanachama wa freemasonry hawajui lolote!!!
 
hao pengine sio FM bali ni satanists. ni moja ya mitandao mikubwa ya kishetani iliyopo duniani. Binti yako alikutana na satanist ambao wanaingia kwa wingi kutoka nchi jirani hasa kenya. lakini kimsingi satanists wapo na wemekuwapo nchini tangu enzi na enzi ila katika mtindo mwingine. Dawa yao: YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI!!!
 
FREEideas Ninavyoelewa hapa no kuw umesoma kuhusu masonic kupitia sources mbalimbali kisha ukajumuisha like ulichoelewa na kukiandika hapa.
 
Last edited by a moderator:
FREEideas Ninavyoelewa hapa no kuw umesoma kuhusu masonic kupitia sources mbalimbali kisha ukajumuisha like ulichoelewa na kukiandika hapa.
Nikikwambia sasa hivi unaandikie unachojua kuhusu Mwalimu Nyerere bila kutumia rejea ama kopy na paste,kile utakachkandika papo kwa hapo ndo nilichofany.Nadhan ummelewa.
 
Last edited by a moderator:
FREEideas Ninavyoelewa hapa no kuw umesoma kuhusu masonic kupitia sources mbalimbali kisha ukajumuisha like ulichoelewa na kukiandika hapa.

Nikikwambia sasa hivi unaandikie unachojua kuhusu Mwalimu Nyerere bila kutumia rejea ama kopy na paste,kile utakachkandika papo kwa hapo ndo nilichofany.Nadhan ummelewa.
 
Last edited by a moderator:
Nikikwambia sasa hivi unaandikie unachojua kuhusu Mwalimu Nyerere bila kutumia rejea ama kopy na paste,kile utakachkandika papo kwa hapo ndo nilichofany.Nadhan ummelewa.

Still you've been too biased by concentrating on the positive side of Freemasonry and neglect the dark side of it. The dark side involves secrets and all the mysterious about the fraternity. Mind that, non-members can't access the information unless for quieter, and your are not the one. Your fooled by your own pedantic understanding. You don't know freemasonry.
 
Mkuu Eiyer kuna mahali umeeleza kwamba Semiramis kwenye biblia anajulikana kama Diana. Naomba huo mstari tafadhali . Au ndio yule Dada yao kina Simeon, Reuben na yusufu na Banyamini?
 
acknoledgement in jambo la msingi katika maisha ya wasomi hakuna kitu kama pure self knowledge of somebody to something.....loading samahani napita tu.
 
haya wewe ni mawazo yako sio lazma tukuamini na wewe kama unawaamini wafuate,swalaa imani is still a personal issue, so walk on your way and leave others on their ways:Kwanza inaonekana kijana unakipigia debe kitabu chako tu na kwa mawazo machache tu ulioandika hapo OBVIOUS hicho kitabu hakitavutia hata kidogo
 
Haya bana ninekuelewa?
 
Naona wewe ni mfanyabiashara tu, na si ajabu ni member wa FM unajaribu kuwaoshea jina!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…