Nihurumieni mwenzenu nakufa

We Kiranga tafadhari huu uzi wa matatizo hivyo msianze hayo mambo mwenzenu anahitaji 5000 toka kwenu. Hamuelewi????? Mi sitoi ng'o!!!
We mzushi mpaka uzushi unauzushia uzushi.
Mzushi mpaka uzushi unaushuzia ushuzi.
 

maneno hayasoeki vizuri ngoja nirudie tena kabla sijachangia kitu.
 
Watu wa aina yako mpo wengi,kwa hiyo bora ufe mzidi kupungua
 
Mkuu kumbe pande hizi upo vizuri. 🙌🙆
 
Acha utapeli wewe ,nyie ndo watu msiojulikana,mnakuja humu kunasa watu waingie mkenge muwapoteze.
Kama unadaiwa na Benk,basi Benk itauza dhamana uliyoweka,maana hukupewa pesa bila dhamana.
Mko wengi humu kunasa watu pumbavu nyie,kuna mmoja alikuwa anajiita miss natafuta .
Ila wajinga mnawapata kweli.
 
Umejiunga JF uje ulize watu? Subiri wajinga utawapata tu, ujiunge October na kuanza kutembeza bakuli,
 
Watu wote jf unawajua hadi kina nape wapo humu,kuna watu watatu nawafahamu humu wana pesa kuzidi hiyo milion 30 ni zaidii,usiongelee watu


Mtoa mada kufa hafi ila cha moto atakipata
Wewe najua ninachokiandika , na najua ni viongozi gani wapo humu najua kwa nini nimeandika vile
 
Sababu ya hilo deni mbona ni ya kibashite sana?
Eti ulikuwa unategemea kupewa/kupata 25m. Fanya hivi : "ule mshiko wa 25m uliokuwa unautegemea ufuatilie ili uwalipe benki".
 
kwanini ume suggest 1×bet kwamba ndio wanatoa sana au niaje
 
Hihihiiii...eti raba kama za Kangi
🤣🤣 yani watu mna maneno aisee..
teh teh
 
Yaani umemuamini!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…