Nihurumieni mwenzenu nakufa

Pole sana!Lakini kwanini unataka kujiua?kwani bank wamesema watakupa adhabu gani kubwa kuliko kifo, nadhani hamkuelewana, watakudai lakini mwisho wa siku watafuata sheria, lakini sijui kama mahakama ina adhabu ya kifo ukishindwa kulipa hata senti moja . Sana sana watachukua ulichonacho, tunza uhai.
 
Poleee, ID/Account umefungua usiku saa tatu, Huu uzi umeuandika usiku huu saa tisa kamili, ngoja tukusubr mpk asubu ukanushe au laaa.... pengne unaota au n haya masimu ya tecno umelilalia limeshafungua ID lenyewe likacopy mavitu kutoka FB au kweny Msg za kawaida likaingia Jf likapest lika post, maana inaonesha umepost tu n kama lijisaa limepita hukurud tena hewan, Au ndo umepata usingz? M mwenyewe sidaiwi wala sina stress zozote lakn nimekosa ka usingz sembuse mtu anaefikiria kufaaa?

Kama n kweli, Pole sanaaa kwan huna assets zozote zinazofka hio 25M Au kukaribia? Mda wa kulipa deni kwa hiari walikupa na umeshapita? umejarb kuongea nao kwa busara ukawaeleza nia yako ya kulipa? huwez huko huko bank ukafanya kaz bure kwa mda utakaofidia hilo deni?
M25 si haba kama huna hata mia na huna mzunguko wa kuipata, ila huwez ilinganisha na uhai wako dada, una uhakika wapo serious wanataka wakufunge?

Mana Hakuna watu wenye mikwara kwenye kudai kama bank, wakikukopesha au wakikuomba ukope wanakuletea vijidada vizurii vinawaka waka, sauti nyororo, ngozi chocolate wanakubembeleza mpk ukubali kuchukua mkp mwenyewe,
Wakija kudai sasaaa.... Unaletewa njemba imefumuka usoo. Nyeusi tiii huku imevaa miwani inafunika mpk matundu ya pua, suruali kama pajama, chini bonge ya buti au raba kama za kangi, ikiingia inakua na mbwembwe na mikwara, yaan mnasalimiana huku anazima switch ukutani huku anachomoa cable za tv, fridge, extensions n.k tena anafanya kuvuta(Anashikia kule kwenye kichwa anavuta) huku anasunya, ukiangalia huo uso unaosunya waweza usahau mpk kiwango cha deni na benk uliyokopa

Unasema atakae kusaidia utampa chochote atakachotaka,
My dear sister hicho chochote baadae inaweza iwe mthan zaid ya huu utaman ukakope tena bank hata mara mbili ya hio ulipe kuondokana na chochote,
Binafsi mimi na hvyo sina familia bd, ningetoroka kwanza nikaanze kuzisaka, Kama kuna watakachofanya huko nyuma poa tu, LAWAMA HAPEWI MBUZI, siku nazipata nawaletea kwa suprise uone kama watakusumbua,

Wazee tujifunze kitu hapa, usikubar kutoka kapa
 
Anatuzingua tu huyu mkuu mill 25 yote adhulumiwe kiboya boya alafu atuletee shida zake humu
 
I smell something fishy!! Kama ulitegemea kupata hela ilikuwa million 25 net Hata usishtuke? Afu Nani anaweka pesa kimakosa kwenye account ya mtu, with all the verification involved kwenye transactions kubwa kubwa Kama hzo? Labda Umekula hela ya kikundi, pole. Funguka
 
Fanya hivi, hiyo 6,500/- asubuhi nunua bundle la buku (data). Kisha 5,500/- tupia kwenye tigo pesa/m-pesa.

Download app ya 1xbet www.1xbet.com kisha fungua account humo kwa kufuata maelekezo. Kisha upload/deposit hiyo 5,000/-

Ukimaliza close app, fungua app ya Jamii Forums kisha ingia kwenye huu uzi

[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Wazee Wenzangu Wa Kuweka Mzigo (Kubet) - Karibuni Tubashiri Mechi Za Leo! - JamiiForums

Hapo utakutana na wataalamu wa mambo ya kuzalisha pesa kwa kucheza na intuition na lucky. Ukiwa na bahati mpaka jioni unaweza ukawa umepata pakuanzia.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mimi hata nidaiwe kichwa sijiui, acha ubwege wewe kuwa jasiri deni aliui bora ufungwe kuliko kujiua kesi ya kudaiwa sisawa na kesi ya kuua au kubaka kusema utaozea jela.
Ukiweza kupita mtihani huu hakika utakuwa imara sana na tegemea mafanikio mbeleni.
Halafu kwa dunia ya sasa iliyojaa utapeli,ubinafsi na ugumi wa maisha ukipata mtu wa kukulipia ilo deni mshukuru Mungu sana.
 
Kwasababu ulikua na mipango ya uhakika ya kupokea 25M na haikuingia kwa wakati basi ikishaingia kawalipe jamaa.
Kingine kama hamna mkataba kwa kukopeshana basi wewe kimbilia mikoani kaanze maisha upya, acha kutumia namba za simu na simu zote ziache mjini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…