Mwanangu point hii...!Mbeya maisha ni rahisi na biashara hata ukiwa na mtaji mdogo unaweza kujipanga ukarudi ukaishi Arusha huko mbeya ukahama ukiwa na mtaji mkubwa ndio uje arusha.
Sante! Nina bachelor ya utalii..Kama unaudhoefu wa utalii njoo Arusha, kuna jumla ya makao makuu ya ofisi za kitalii 724 ambayo ni zaidi ya 96% ya makampuni ya kitalii yote yanayofanya kazi zake hapa nchini.
Nenda ARUSHA mkuu maana ndio mji wa ndoto yangu huo.Pia hali ya hewa siyo mbaya braza ikiwa poah..! Dodoma km vile kugumu vilevile.
Mwanangu point hii...!
Wasiwasi wangu mbeya ni juu ya mzunguko wa pesa unaweza ukawa mdogo maisha yakabakia rahis kwenye msosi tuuh..[/QUOTE
Nyumba kupanga mbeya ni cheap kuliko arusha,zipo biashara nyingi mbeya ila unaenda huko kwa lengo la kujiongezea mtaji wakuja kuhamia arusha.Utapata pesa haitaishia kwenye chakula tu,jiweke mbeya uwe unaletaa biashara arusha,yaani uwe mbeya unaishi biashara iwe ualeta arusha then huko mbeleni uhamie arusha.
Njoo jaribu maisha mwanangu mtu asikutishie, yaani hapa Ars kukwea pipa kwenda kwa clinton ni wewe tu kama vile hili ni jimbo la United State kamandaSante! Nina bachelor ya utalii..
'Omarion' Arusha sio mji wa kuvamia vamia lazima ujipange vizuri,nimeishi arusha na kuhama na kurudi na kuhama na kurudi kwa kazi zangu zilivyo,lakini Arusha sio pa sportsport na ukiweza kuishi arusha mkoa wowote utaishi,ila mbeya na watu wake ni wakarim mno kushinda watu wa arusha ni wakorofi na wababe,ila mbeya achunge roba za mbao.Mpaka sasa hivi nipo Arusha.Nenda ARUSHA mkuu maana ndio mji wa ndoto yangu huo.
Namanyere kama unaenda kirando huwa wanakula pale,unaweza kwenda kirando au ukaenda zako katavi mkuu.500k usisogee Arusha joooh.Baki tuu huko huko kwengine au Nenda Namanyere kabisa.
Ukija nitafute mimi nikupe michongo, ila uwe na pa kufikia kozi sipendagi wageni wa kiume kwangu maana na wivu sana na wife wangu usije ukaniibia, huyu mama watoto wangu ndio alinifanya nikafika Buenas Aire huko Argentina baada ya kupendwa nae huko SerengetiMwanangu point hii...!
Wasiwasi wangu mbeya ni juu ya mzunguko wa pesa unaweza ukawa mdogo maisha yakabakia rahis kwenye msosi tuuh..
In Arusha Life is much easier and there are also many opportunities to succeed in life...ThanksWhy R- chuga??
Mkuu mimi mlokole braza hakika km nitakuja ata ukinihifadhi tegemea nikama kumtunza Yusufu kwa farao..!Ukija nitafute mimi nikupe michongo, ila uwe na pa kufikia kozi sipendagi wageni wa kiume kwangu maana na wivu sana na wife wangu usije ukaniibia, huyu mama watoto wangu ndio alinifanya nikafika Buenas Aire huko Argentina baada ya kupendwa nae huko Serengeti
Mimi siyo wa mchezomchezo pia, durable and courager...'Omarion' Arusha sio mji wa kuvamia vamia lazima ujipange vizuri,nimeishi arusha na kuhama na kurudi na kuhama na kurudi kwa kazi zangu zilivyo,lakini Arusha sio pa sportsport na ukiweza kuishi arusha mkoa wowote utaishi,ila mbeya na watu wake ni wakarim mno kushinda watu wa arusha ni wakorofi na wababe,ila mbeya achunge roba za mbao.Mpaka sasa hivi nipo Arusha.
Afu nina kijimchongo fulani USA ila hapa dsm waziba fursa wengi ata ndugu wanakubania waafrika bhana..Njoo jaribu maisha mwanangu mtu asikutishie, yaani hapa Ars kukwea pipa kwenda kwa clinton ni wewe tu kama vile hili ni jimbo la United State kamanda
Kweli braza!Ni kweli maisha hapa ni magumu kuliko mkoa wowote hapa nchini ila ukishashika chanel hutotaka kusikia ushauri wowote kutoka kwa mtu yeyote kuuhama huu mkoa
Easier as in what?Accomodation is fuckin expensive,nobody will help you when in need,if you go to mbeya some parts accomodation is so cheap,l used to live in a house of 3 rooms,sitting room and a toilet,water and electricity was available in the house,the rent was 85000 Tzs.which opportunities are you referring to,which are not in Mbeya.Pliz elaborate.In Arusha Life is much easier and there are also many opportunities to succeed in life...Thanks
Sante!Nenda ARUSHA mkuu maana ndio mji wa ndoto yangu huo.