Night Unlimited

Night Unlimited

Mbona wameandika mkuu, soma tangazo wanasema unlimited ku-surf, sasa sijuwi kama kuna mtu anahitaji kitu kama hicho.

Unlimited downloading inawezekana kabisa, kipindi fulani airtel walikuwa nayo kwa sh 200 tu na ilikuwa 24hrs yaani mchana na hata usiku, baadaye Vodacom kupitia wajanja night offer kwa sh 200 pia ulikuwa una download utakavyo ila usiku tu ambayo kwa sasa wamebadili kwanza wamepandisha bei ni sh 500 na wamelimit to 1gb

basi niwendawazimu hawa watu, hivi wanafikiri watanzania wote tunatumia internet kusurf!? Na hivi vifurushi vya bundle tunavitumiaje!?
 
Sasa unaweza kuperuzi usiku mzima ukijiunga na bundle zetu za Night Unlimited.
Ukiwa na Tsh 450, unapata kifurushi cha Night Surfer 1GB na kwa Tsh 900 unapata kifurushi cha Night Surfer 2GB ambapo ukiwa na kifurushi hichi pia unaweza piga Zantel kwenda Zantel bila kikomo.

Vifurushi vyote hivi vinadumu kuanzia saa tano usiku hadi 12 asubuhi.
Jiunge sasa kwa kupiga *149*07# kisha chagua namba 7. Au jiunge kupitia tovuti yetu www.zantel.com

What the ---- do yo mean by the term UNLIMITED?
 
Zantel wazembe sana, wanapigwa bao kijinga sana wao ndo waanzirishi kutuma pesa kwa njia ya simu Tanzania lakini wamepigwa bao na mitandao mingine, badilikeni mtaaendelea kuwa na wateja Zanzibar tu wasio fika hata 1m.
 
sasa unaweza kuperuzi usiku mzima ukijiunga na bundle zetu za night unlimited.
Ukiwa na tsh 450, unapata kifurushi cha night surfer 1gb na kwa tsh 900 unapata kifurushi cha night surfer 2gb ambapo ukiwa na kifurushi hichi pia unaweza piga zantel kwenda zantel bila kikomo.

vifurushi vyote hivi vinadumu kuanzia saa tano usiku hadi 12 asubuhi.
jiunge sasa kwa kupiga *149*07# kisha chagua namba 7. Au jiunge kupitia tovuti yetu www.zantel.com
mkuu, watu wanahitaji kudownload usiku mzima na si kuperuzi usiku mzima
 
Na kwa nn nisubirie hadi saa tano usiku!? Wakati Wajanja Night ni kuanzia saa nne!? Na kuanzia MEI Mosoi wanasogeza Muda kuanzia saa tatu usiku.
 
Sasa unaweza kuperuzi usiku mzima ukijiunga na bundle zetu za Night Unlimited.
Ukiwa na Tsh 450, unapata kifurushi cha Night Surfer 1GB na kwa Tsh 900 unapata kifurushi cha Night Surfer 2GB ambapo ukiwa na kifurushi hichi pia unaweza piga Zantel kwenda Zantel bila kikomo.

Vifurushi vyote hivi vinadumu kuanzia saa tano usiku hadi 12 asubuhi.
Jiunge sasa kwa kupiga *149*07# kisha chagua namba 7. Au jiunge kupitia tovuti yetu www.zantel.com

kuuliza sio vibaya... hivi mwanza zantel iko fast au ni kobe kwangu tu mana naona nazikosa ofa tam ka hizi,,, kama kuna mdau wa mwanza anayetumia zantel naomba anijulishe tafadhali
 
kuuliza sio vibaya... hivi mwanza zantel iko fast au ni kobe kwangu tu mana naona nazikosa ofa tam ka hizi,,, kama kuna mdau wa mwanza anayetumia zantel naomba anijulishe tafadhali

Dar wapo slow iwe Mwanza faster thubutu
 
Dar wapo slow iwe Mwanza faster thubutu

hahahahahahaaaaaa dah! shukran mkuu hawa jamaa hawako serious kabisa na data business, miaka ya nyuma walikuwa wanasifika kwa spidi ila sasa i think ndo wako katika rank za mwisho.. naona kiujumla bongo data ishakuwa ishu ngumu, hivi airtel bado wanauza Gb1 kwa ile bundle ya 1000???
 
Dar wapo slow iwe Mwanza faster thubutu

dar zantel wana speed kuliko mtandao wowote. kujua speed ya mtandao usitumie na kifurushi tumia vocha then nenda speedtest. minimum speed nilikua napata 4mbps.
 
kuuliza sio vibaya... hivi mwanza zantel iko fast au ni kobe kwangu tu mana naona nazikosa ofa tam ka hizi,,, kama kuna mdau wa mwanza anayetumia zantel naomba anijulishe tafadhali
Upo wapi, Mwanza Sehemu gani ? inategemea sehemu na sehemu ila Zantel pote Mwanza nilipoitumia ilikuwa na kasi ya kutosha, ingawa nilishaitumia Arusha na Shinyanga haikuwa na kasi (labda ni sehemu nilizokuwepo) anyway hakuna offer za muhimu tena zantel walipofuta unlimited siku tatu tena baada ya kuipandisha from elfu tano mpaka kumi mpaka 15 na sasa kufutwa kabisa nimewaona hawana maana tena).
 
dar zantel wana speed kuliko mtandao wowote. kujua speed ya mtandao usitumie na kifurushi tumia vocha then nenda speedtest. minimum speed nilikua napata 4mbps.

mkali sasa 4mbps ni ndogo, voda pamoja na wajanjanight yao kuipunguza lakini kila siku usiku nagonga mpaka 8.3mbps a.k.a x2.. ngoja nitafanya kucapture screen nikupe physical proof.
 
Na kwa nn nisubirie hadi saa tano usiku!? Wakati Wajanja Night ni kuanzia saa nne!? Na kuanzia MEI Mosoi wanasogeza Muda kuanzia saa tatu usiku.

Mbona mi natumia muda wote.fanya hivi:ukishajiunga wajanja night jiunge na bando nyingne hata zile za cheka ya 499tsh.then ikishfika saa 12 kama gb yako haikuisha utaendelea kutumia mchana kutwa na utadownload files za kutosha tu
 
mkali sasa 4mbps ni ndogo, voda pamoja na wajanjanight yao kuipunguza lakini kila siku usiku nagonga mpaka 8.3mbps a.k.a x2.. ngoja nitafanya kucapture screen nikupe physical proof.

kaka unaelewa maana ya minimum? sasa 8mbps chamtoto sababu zantel kuna ushahidi wa 13mbps
 
Hawa watu wa mitandao akili zao sijui zikoje.

yaani ofa badala ziwekwe mchana watu watumie eti wanaweka usiku!!!

Maana yake watu walale mchana ili usiku watumie offa za mitandao ya simu au watu wasilale usiku na mchana??!!
 
zantel unlimited ya mwezi 300, 000 hahahha hawa wapemba wanaakili hivi hivi vodacom unlimited yao ya 40000 ni full au nao gb 2 speed inashuka
 
Back
Top Bottom