Nigerian men..

Asante kwa ushauri wako mzuri.... Wacha ni songe mbele nisibishane na mtu anaetumia makalio kufikiria!

hata kama ningekuwa natumia kucha kufikiri,bado hunihusu wala hunisumbui....tafadhali usichafue hali ya hewa humu...frustrations zako mpelekee mkeo huko....usitusumbue hapa!
 
MMM HATA MI NAONA MAKE HATA PREZIDAAA WAO WA LONG OBASANJO NI BEAUTIFULLL HAHAHAHAHAHAAAAA:boom:
 
images

nigeria men
images

hihihihahahaaaa duuu mie hoooi!hao ni wa tanzania au?
 
I feel wapo very manipulative hao naija men!!!

However, this guy is hot!!...Oohh!!Van Vicker

van-vicker-580x386.jpg
 
sasa huyo ana tofauti gani
na ma half cast wa bongo?

mfano p funk na wengineo?
 
sasa huyo ana tofauti gani
na ma half cast wa bongo?

mfano p funk na wengineo?

p funk kajaa minyama hana body yoyote nzuri..hana mvuto kwangu hata japo ni point 5!!

Shosti, thanks unajnilimix mambo..halafu na ujirani wao!...
 
Angalieni msijetapeliwa ama msijeuzwa kama bidhaa manake popo wakalie mbali kama ukoma hawa
 
twawaongelea wapopo wajameni,mwaga masifa

nini nigeria,wamozambique mmewasahau,wasomali,wakenya,wazimbabwe,wazulu,waivory coast wote kwenu wako hot.swala linaeleweka wasichana wa kibongo wamewachoka wanaume wa kibongo,na wanaume vilevile wamechoka na wasichana wa kibongo,imebaki game tu.
 
Van Vicker ni robo Mghana robo liberia, half Dutch
. Waghana wanawake kwa wanaume ni wapole (wana haya) ila wanaume wabaya, most of them ni vifupi; including Van Vicker.
Afu hawana vichogo, vichwa kama vimepigwa pasi nyuma.

mghana huyu sio mpopo
 
kumbe unaweza kuwa quarter cast si half cast tu?

Aisee kuna mambo duniani?!!

Van Vicker ni robo Mghana robo liberia, half Dutch
. Waghana wanawake kwa wanaume ni wapole (wana haya) ila wanaume wabaya, most of them ni vifupi; including Van Vicker.
Afu hawana vichogo, vichwa kama vimepigwa pasi nyuma.
 
Van Vicker ni robo Mghana robo liberia, half Dutch
. Waghana wanawake kwa wanaume ni wapole (wana haya) ila wanaume wabaya, most of them ni vifupi; including Van Vicker.
Afu hawana vichogo, vichwa kama vimepigwa pasi nyuma.
kweli kabisa Waghana wapole sana na wana huruma...ila hawana mvuto sijui kwa nini!!!
 
Back
Top Bottom