kuna wadada wa ki tz wanababaika mno na wanaume wa nigeria
na kuponda wa tz.....haya sasa mchunge midomo yenu huko
tusije pokea maiti huku....
The Boss usitake nicheke. Wanaume wa kinaigeria najua ni matapeli sana kuanzia kwenye mapenzi mpaka mambo ya ela. Na kwa kuwa ni matapeli wa penzi ni very rare kuua kama huyu alivyofanya maana wana wanawake lukuki; Huyu atakuwa alipenda kweli au ni chizi.
Ila nadhani nao wanapenda wanawake wasio wa naigeria sababu wanawake wao ni dakika mbili mbele. Wana makelele hao usipime.
kuna wadada hapa hapa jf walianzisha thread ya kuwasifia wanaume wa nigeria na kuponda wa tz...
hapa hapa.....
Ukiipata hiyo thread tuwekee link. They must be jocking wanaigeria ni wanaume au ni ma player???
Si nilisikia Mtz mmoja staa hivi wa kitz aliolewa na mnigeria.
Ina maana wanigeria hawaoi kabisa, hata player kuna siku ataoa tu
unless kama wanataboo kuoa nje ya nchi yao
Kuna wakati wabongo walikuwa wanababaikia sana foreigners hata kama mwanaume anatokea msumbiji, malawi au zambia wanaona big deal Lol. Utasikia boyfirend wake ni Mjamaika.
Sidhani kama hii tabia bado ipo.
Ukiipata hiyo thread tuwekee link. They must be jocking wanaigeria ni wanaume au ni ma player???
uUkiipata hiyo thread tuwekee link. They must be jocking wanaigeria ni wanaume au ni ma player???