Nigeria: Raia washangazwa Rais kutembea na msafara wa magari 120

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Wakati Nigeria ikipitia changamoto kadhaa za kiuchumi ikiwemo gharama za maisha zilizopelekea kuongezeka kwa gharama za maisha, Wananchi wameshangazwa na Msafara wa Rais #BolaTinubu, wa Magari 120 alipokuwa akirejea kutoka Uingereza kwa ajili ya Sikukuu ya Eid al-Adha

Mamia ya magari ya SUV, mabasi ya kifahari yakisindikizwa na wanajeshi yaliendesha kwenye barabara zilizofungwa, kumruhusu Rais huyo kufika nyumbani kwake Jijini Lagos

......

Tinubu's 100-vehicle Lagos convoy raises eyebrows

Eyebrows were raised in the Nigerian city of Lagos at the grand arrival in the city on Tuesday evening of President Bola Tinubu.

Witnesses said the country's new leader was accompanied by more than 100 vehicles on his return from Britain for the Muslim holiday of Eid al-Adha.

Dozens of SUVs accompanied by military escorts drove along closed-off roads, with video of the cavalcade posted online.

Mr Tinubu flew into Lagos in his Gulfstream jet

Source: BBC
 
Misafara ya Escort kiasi hicho ni ugonjwa unaowaletea athari kichwani viongozi wa Afrika, bila wao wenyewe kujua, ndio maana muda wao ukiisha wa uongozi madarakani wanapambana kufa na kupona waendelee kuwa madarakani. Wanaona ni heri kuleta machafuko na watu wafe ila wakamate madaraka.

Kila akiwaza ule "Umungu Mtu" aliokua nao na "Misafara Yake" kila anapokwenda, barabara kufungwa kwaajili yake, wateule wake wanavomuabudu kama mungu, wanakua wanapata "UCHIZI (Mental Disorder)" kulazimisha kubakia madarakani. Hawawazi kubaki madarakani ili kuleta maendeleo kwa wananchi wao!
 
Tinubu atakuwa Rais mpuuzi kama wapuuzi wengineo, hana tofauti hata kidogo. Nigeria Rais wao aliyekuwa na unafuu mikaka ya hivi karibuni ni Umaru Yar'Adua aliyefariki akamuacha Goodluck Jonathan mdhaifu kupindukia.
Umaru hata kabla hajawa Rais CV yake ilikuwa safi na haikutia shaka, huwezi ishi miaka zaidi ya 50 ukiwa mwizi alafu ukaja kuacha pale unapokuwa Rais tena una kinga ya kushtakiwa.
 
Wakati Nigeria ikipitia changamoto kadhaa za kiuchumi ikiwemo gharama za maisha zilizopelekea kuongezeka kwa gharama za maisha, Wananchi wameshangazwa na Msafara wa Rais #BolaTinubu, wa Magari 120 alipokuwa akirejea kutoka Uingereza kwa ajili ya Sikukuu ya Eid al-Adha

Mamia ya magari ya SUV, mabasi ya kifahari yakisindikizwa na wanajeshi yaliendesha kwenye barabara zilizofungwa, kumruhusu Rais huyo kufika nyumbani kwake Jijini Lagos

......

Tinubu's 100-vehicle Lagos convoy raises eyebrows

Eyebrows were raised in the Nigerian city of Lagos at the grand arrival in the city on Tuesday evening of President Bola Tinubu.

Witnesses said the country's new leader was accompanied by more than 100 vehicles on his return from Britain for the Muslim holiday of Eid al-Adha.

Dozens of SUVs accompanied by military escorts drove along closed-off roads, with video of the cavalcade posted online.

Mr Tinubu flew into Lagos in his Gulfstream jet

Source: BBC
Ukiwa na alili timamu kabisa kichwani, kuishi Afrika ni mzigo na mateso makubwa sana.
 
Tinubu atakuwa Rais mpuuzi kama wapuuzi wengineo, hana tofauti hata kidogo. Nigeria Rais wao aliyekuwa na unafuu mikaka ya hivi karibuni ni Umaru Yar'Adua aliyefariki akamuacha Goodluck Jonathan mdhaifu kupindukia.
Umaru hata kabla hajawa Rais CV yake ilikuwa safi na haikutia shaka, huwezi ishi miaka zaidi ya 50 ukiwa mwizi alafu ukaja kuacha pale unapokuwa Rais tena una kinga ya kushtakiwa.
Mtu alishafanya kazi ya kutakatisha fedha kupitia wauza madawa ya kulevya unamchaguaje kuwa rais in first place,

Kote alikosoma hakuna hata classmate anayemkumbuka haijulikan kazaliwa lini jamaa kafake almost everything hakuna Rais mwenye cv mbaya kama bola tinubu
 
Mtu anaambiwa test the mic na msaidizi wake, yeye anailamba. Hata kama huna akili ndio ulambe mic tena kwenye kampeni, sasa mtu kama huyo akipewa makaratasi asaini si anasaini tu.
 
Huwa nasema kila siku, Uislamu haufundishi fiscal discipline na ndiyo maana Waislamu huwa wanakuwa wavujaji na watumiaji sana au watu wa matanuzi, najua mtasema ni udini lkn hili liko wazi Waislamu wanapenda sana anasa, rejea kauli mbiu ya zito kabwe kazi na bata, anasa tu.
Uchumi wa nchi za Kiislamu ni wa uchuuzi sasa uwe na bahati uwe na utajiri wa mafuta na gesi kama
gulf states utagawa fedha hovyo lkn kama nchi ni masikini huwezi kutoboa kwa uchuuzi, angalia TZ kila mtu mchuuzi, kila mtu anataka kuagiza China bidhaa auze, uchumi gani unajengwa hivyo? Utamuuzia nani kama watu hawana hela ya kununua?
 
Ilibidi umalizie,,,, kwa China la yesoo waisilamo wasiwe viongozi dunianeee!! Rababaaa sharobaaaaaa!! Ngovo ikafongokeee haleloyaaa!!! Wakristo ndo wametawala miaka mingi nchi hii kuliko waislam nini wamefanya? Islam phobia inakutesa tu we jamaa,, kuboronga kwenye uongozi ni utashi wa mtu na wala si mambo ya dini,,,,
 
Wakati Nigeria ikipitia changamoto kadhaa za kiuchumi ikiwemo gharama za maisha zilizopelekea kuongezeka kwa gharama za maisha, Wananchi wameshangazwa na Msafara wa Rais #BolaTinubu, wa Magari 120 alipokuwa akirejea kutoka Uingereza kwa ajili ya Sikukuu ya Eid al-Adha

Mamia ya magari ya SUV, mabasi ya kifahari yakisindikizwa na wanajeshi yaliendesha kwenye barabara zilizofungwa, kumruhusu Rais huyo kufika nyumbani kwake Jijini Lagos

......

Tinubu's 100-vehicle Lagos convoy raises eyebrows

Eyebrows were raised in the Nigerian city of Lagos at the grand arrival in the city on Tuesday evening of President Bola Tinubu.

Witnesses said the country's new leader was accompanied by more than 100 vehicles on his return from Britain for the Muslim holiday of Eid al-Adha.

Dozens of SUVs accompanied by military escorts drove along closed-off roads, with video of the cavalcade posted online.

Mr Tinubu flew into Lagos in his Gulfstream jet

Source: BBC
Saafi SANA. Maana wanaijeria ni watu wa kujimwambafai
 
Ilibidi umalizie,,,, kwa China la yesoo waisilamo wasiwe viongozi dunianeee!! Rababaaa sharobaaaaaa!! Ngovo ikafongokeee haleloyaaa!!! Wakristo ndo wametawala miaka mingi nchi hii kuliko waislam nini wamefanya? Islam phobia inakutesa tu we jamaa,, kuboronga kwenye uongozi ni utashi wa mtu na wala si mambo ya dini,,,,

Mimi siwezi kuwa na Islamphobic, tatizo ambalo naweza kukubali ninalo labda ni kutokuweza kutofautisha Uarabu yaani Utamaduni wa kiarabu na Uislamu kama Dini, hivyo inawezekana labda nachanganya hayo mambo mawili.

Kuna kipi kwa mfano cha kujifunza kutoka kwa Waarabu hadi tuwape rasilimali zote za nchi ? Angalau ningeelewa kama tungejifunza kutoka Singapore au Korea work ethics na jinsi walivyofika hapo sasa Dubai na Saudia watatufundisha nini wakati uchumi wao ni uchuuzi mtupu? 85% ya labor force gulf states ni foreigners lkn wanaweza kumudu sababu ya utajiri wa mafuta na gesi wanakaa kuajiri wengine wafanye kazi wao wanakusanya fedha na kufanya anasa sasa sisi hatuna huo utajiri ni lazima tutoe jasho kwa kufanya kazi usiku na mchana tuweze kujenga viwanda kutoa ajira na kulisha watu zaidi ya milioni 60, hivyo jibu haliwezi kutoka Dubai au Saudia bali litatoka Singapore, Korea, Japan au hata Taiwan na Vietnam, …
 
Vipindi vyote walivyoshika hatamu ya nchi raisi muislamu bajeti kubwa ilikuwa kkwenye matumizi kuliko miradi ya maendeleo kama uyu wa sasaa asingekuta miradi hiii ya Magu basi ingekuwa hakunaa kitu angefanya zaidi ya mishaara na kwenda ugaibuni na kurasimisha rasilimali za nchi
 
Back
Top Bottom