Nigeria: Mwanasiasa akutwa na Bilioni 1.16 taslim wakati wa uchaguzi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Capture.JPG

Chinyere Igwe ameshikiliwa akituhumiwa kutakatisha fedha hizo ambazo ni Dola 500,000 zilizokutwa kwenye gari lake muda mfupi kabla ya Uchaguzi Mkuu.

Polisi wamesema Igwe ni Mwanasiasa wa upinzani wa Chama cha PDP ambaye pia ni Mbunge amekutwa pia na orodha ya majina ya watu ambao alitakiwa kuwapatia fedha hizo.

Katika chaguzi zilizopita Wanasiasa walishutumiwa kwa wizi wa kura wakidaiwa kununua kura.

Hivi karibuni, Nigeria ilizindua noti mpya ambazo bado mzunguko wake haujawa mkubwa, hali ambayo inadaiwa kuwapa wakati mgumu Wanasiasa wanaotaka kutumia fedha nyingi kuwanunua wapiga kura na hivyo kulazimika kugawa Dola

40% ya Wanigeria hawana akaunti za benki, wanategemea fedha taslimu kufanya manunuzi na matumizi yao ya kila siku.

=============

Chinyere Igwe: Nigerian politician arrested with $500,000 on election eve

A Nigerian politician has been arrested for alleged money laundering after being caught with $498,100 (£414,000) in cash a day before general elections.

The piles of US dollars were found by police inside Chinyere Igwe's car.

Mr Igwe, an opposition PDP member of the House of Representatives, was also caught with a list of people to give the money to, police say.

In previous elections, politicians have been accused of rigging polls through vote buying.

Nigeria has recently issued new banknotes, partly in order to make it harder for politicians to amass large sums of money in order to bribe voters.

However, not enough of the new notes are in circulation, leading to widespread anger and frustration. People have been queuing for hours outside banks in order to get cash, often without success, while some have attacked banks.

Some 40% of Nigerians do not have bank accounts and so rely on cash to buy food, and for other everyday uses.

In a Twitter thread, police in Rivers State, where Mr Igwe was arrested, urged "all contestants and political parties to comply strictly with provisions of the Electoral Act and other relevant laws".

Mr Igwe, who represents part of the southern city of Port Harcout, has not yet commented on the matter.

The elections are predicted to be the most competitive since the end of military rule in 1999, with three candidates - Atiku Abubakar of the PDP, Peter Obi of the Labour Party and Bola Tinubu of the governing APC - all seen as potential winners.

The head of the country's electoral commission, Inec, has told the BBC's Peter Okwoche that the authorities are prepared for Saturday's vote.

"Reports around the country indicate that materials are being delivered to the local governments as planned," Mahmood Yakubu said.

"We're exactly where we wanted to be in terms of preparation," Mr Yakubu added, saying security agencies had "assured" Inec that the vote would go ahead smoothly.

There had been concerns that it might not be possible to hold the election in parts of the country, which is facing an Islamist insurgency in the north-east, a nationwide kidnapping-for-ransom crisis and a separatist insurgency in the south-east.

A senatorial candidate for the opposition Labour Party, Oyibo Chukwu, was shot dead on Wednesday in the south-eastern Enugu State while he was returning from the campaign trail. The parliamentary election in Enugu East has been postponed following his killing.

Police have blamed the separatist group Ipob for the killings. The group has not yet commented.

The authorities have ordered the closure of all land borders for Saturday's vote starting from midnight for 24 hours, to stop foreign nationals from trying to vote.

On Thursday Inec revealed that a total of 87.2 million voter cards had been collected. More than 93 million people had registered to vote, which means that some six million people had not managed to collect their cards and so would not be able to cast their ballots.

There have been reports of people saying they were unable to collect their cards. There was one case of voter cards reportedly being dumped in a bush, only to be discovered by a hunter.

Source: BBC
 
Nani anatazamiwa kuwa rais wa nchi hiyo?
 
Nilikuwa nafikiri Atiku Abubakar wa hiki Chama PDP sasa kama tatizo hili litaleta mzozo basi tena

Au labda Chama cha Buhari ambae Bola Ahmed ndio anawania

Vyovyote vile Nigerians wana matatizo mengi sana nchini kwao ni vurugu tu ingawa wana vichwa ila ni kwa ajili ya wizi tu
 
Nilikuwa naona Nigerian mfumo wao na misingi ya taifa lao...inafanana na tanzania....dini ndio inaamua nani awe raisi...na nani awe makamu wa rais
 
Kweli kabisa mkuu hata Lebanon pia
Rais lazima awe Mkiristo na waziri mkuu Muislam huo nao ni utaratibu wao hao waarabu

Ingawa kote huwa mauwaji mengi zaidi

Lebanon huwa wanauwawa sana wanasiasa na hata Nigeria pia matatizo ni mengi sana

Sisi tuna unafuu sana mauwaji kwa misingi ya Dini hatuna kabisa yaani ni wapole sana

Tuna midomo sana ila hatujafika huko na kuwaza kuuwa viongozi wakubwa
 
Watu wana pesa bhana kwaiyo izo niza kugawa tu asee.afu akipita ndo mnaanza kuisoma namba hadi zirudi na faida juu
 
Kweli kabisa mkuu hata Lebanon pia
Rais lazima awe Mkiristo na waziri mkuu Muislam huo nao ni utaratibu wao hao waarabu

Ingawa kote huwa mauwaji mengi zaidi

Lebanon huwa wanauwawa sana wanasiasa na hata Nigeria pia matatizo ni mengi sana

Sisi tuna unafuu sana mauwaji kwa misingi ya Dini hatuna kabisa yaani ni wapole sana

Tuna midomo sana ila hatujafika huko na kuwaza kuuwa viongozi wakubwa
Lebanon full democrasia. Tatizo Lebanese Akili hawana hasa wavaa kobazi wamejiunga na jihadi na makundi ya kihuni Kama Hezbollah.
 
Back
Top Bottom