Nifunzeni jinsi ya ku'post' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifunzeni jinsi ya ku'post'

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mwitaz, Mar 17, 2012.

 1. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli nina hoja na mambo mengi ya kupost katika JF ila sioni sehemu ya kupost!
  Is it because am using a phone or what is the problem?
   

  Attached Files:

 2. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nategemea maoni yenu katika kutatua hili tatizo
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  unataka kupost nini....?kuna forums mbalimbali.....click kwenye home then utachagua jukwaa unalotaka kulingana na hoja yako.....
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  nnamashaka wewe ni mwita25 umekuja kivingine
   
 5. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Chagua jukwaa kutokana na hoja yako ilivo? Kunamajukwaa mengi tu humu ndani.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Mwita acha kutuzingua kupost mbona ushapost sasa? Tukufundishe nini?
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  hapa umefanyaje ukapost?
   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  umeniwahi kidoogo tu
   
 9. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  mkuu post kama ulivyo post. halafu hiyo picha inahusiana nini na mambo ya jf?
   
 10. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kweli hyo pic haihusu hapo
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,002
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Hapo chacha!!
  MP.
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Umeme umekatika ghafla , nyumba yote iko gizani hatuonani !
  Sasa nisubirini niwashe Mshumaa, ukishawaka na tukianza kuona, mnifahamishe kazi ya Mshumaa ni nini?
  Swali kama hilo lina tofauti gani la mtoa mada ? Au hajui kwa nini hajui ?
  Unauliza watu hutafunaje na una andazi mdomoni ?
  Kongosho najua uko karibu na watawala si washauri Member type hii (mtoa mada) watengewe kajukwaa kao
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mwita25 bana!

  Unajifanya mgeni ila mwandiko wako unakuumbua!
   
 14. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  matatizo ya kuvutia bangi chooni
   
 15. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,484
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Karanga za sh.50 bei gani?
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Shem za J'2 ? Alafu inakuaje Shem hata salaamu ?
  Haya nimekusamehe in advance, nakuuliza hivi, kumbe kuna viashiria vya kutambua handwritin' ?
  Hebu nitonye (not your husb) nitonye ile ya nipashe bt kwa pm , ukinitonyea public wahusika utawapa warmap.
   
 17. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,484
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Me nimesahau password help!
   
 18. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Dah mkuu hii kali umenifanya watu wanione chizi maana nimecheka vibaya mno peke yangu
   
 19. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Mambo ya PM sio mazuri vipi shemeji yangu Husninyo hajambo?
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Nitty acha preasure! Si unajua raha ya kuitwa " Mume wa mtu" ?
  Husny yuko poa! Yuko jikoni, nimemuacha anakaanga samaki, J'2 hua hakubali beki3 kuingia kitchen.
   
Loading...