nifate taratibu gan nisitapeliwe?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nifate taratibu gan nisitapeliwe??

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by brasy coco, Oct 29, 2012.

 1. brasy coco

  brasy coco JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 1,293
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  Wakuu nipo katika mchakato wa kununa nyumba maeneo ya hapa Dar nahitaji nyumba ya kisasa zaidi lakini naomba mnisaidie msaada wa kisheria, taratbu zipi nizifate ili nisije kutapeliwa na wajanja wa Mji naomba wale mnaojua sheria za ununuzi hasa wa nyumba mnipe Information ili nipite katika njia salama
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  tafuta makampuni ya nyumba yaliyosajiliwa
  waweza wacheki pia NHC
  KUNA MTU HUKU ANAITWA Kitomai
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. brasy coco

  brasy coco JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 1,293
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  Hawa NHC uwa wanasaidia nn mtu anapotaka kununua nyumba uwa wanato msaada wa kisheria au?
   
 4. M

  Mundu JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  NHC huwa wanauza nyumba na ma apartments...
   
 5. brasy coco

  brasy coco JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 1,293
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  ntapataje mawasiliano nao
   
 6. M

  Mundu JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ingia kwa google utapata website yao..hapo waweza ona matelephone na ma address

  www.nhctz.com

  by the way NHC ni National Housing Corporation
   
Loading...