Nifanyeje?

Nifanyeje?

Mchukue mama uishi nae....afu sitisha huduma zote kwa hao watoto...kama wana uwezo wa kumtukana mama kiasi hicho basi wana uwezo wa kujipatia huduma zote muhimu.....na na huyo konikodi wa matusi ndo awahudumie wadogo zake.....mpaka akili itakapomkaa sawa na atakapojua umuhimu wako na huyo mama....

Ahsante kwa ushauri. Unamaanisha hata huyu aliyeko Diploma nimwache arudi nyumbani na wengine Sekondari wasitishe shule??
 
Sawa. Watoto je?

We kaka how old are those watoto? Kama wako above 18 pleeeeeeeeeeeeeze muwache mama yako aishi maisha ya amani jamani kha!!! Watafutie room (hapo umewasaidia sana) tena kama wako village ndo vizuri maana maisha sio complicated. Wataftie room mbili kama me na ke then provide their basic needs wakiwa huko huko na wasimsumbue mama au ISHI NA MAMA YAKO WEWE MWENYEWE na huko kijijini tafuta mtu umpangishe ailinde nyumba then hao wadogo waishi humo na huyo mpangaji kama watamletea mizaha. Tena tafuta mpangaji mkorofi (mkurya atafaa zaidi).

Pole kwa kuachiwa mizigo isiyo na lazima mweee! Baba zetu wanatutaftiaga majangaa!!!Yametukuta pia haya
 
shukrani ya punda hiyo .... achana nao...au waite ongea nao waeleze ukweli mother atasepa hapo ubaki na hivo vidubwasha visivyokuwa na shukrani huku ukikosa baraka za mama kwa kuwa kasha tangulia ...

Ahsante dadaangu lakini nimeshaongea nao sana lakin naona hawabadiriki ndo maana nimekuja hapa na ushauri nitakaoupata hapa nautekeleza kuanzia kesho.
 
We kaka how old are those watoto? Kama wako above 18 pleeeeeeeeeeeeeze muwache mama yako aishi maisha ya amani jamani kha!!! Watafutie room (hapo umewasaidia sana) tena kama wako village ndo vizuri maana maisha sio complicated. Wataftie room mbili kama me na ke then provide their basic needs wakiwa huko huko na wasimsumbue mama au ISHI NA MAMA YAKO WEWE MWENYEWE na huko kijijini tafuta mtu umpangishe ailinde nyumba then hao wadogo waishi humo na huyo mpangaji kama watamletea mizaha. Tena tafuta mpangaji mkorofi (mkurya atafaa zaidi).

Pole kwa kuachiwa mizigo isiyo na lazima mweee! Baba zetu wanatutaftiaga majangaa!!!Yametukuta pia haya

Ahsante kwa ushauri wako mzuri. Huoni kuwa nitaongeza gharama ya kutunza familia, sasa zitakuwa tatu: ya kwangu, mama na hao watoto?
 
pole mkuu, cha msingi hapo ni kumuhamisha mama tu!
 
pole sana kwa tatizo ....

mchukue mama yko anahtaji kuwa na amani na furuha kwa sasa ameteseka vya kutosha juu yenu pindi baba yenu amuache...dada zako wana kazi i hope soo wamchukue wakae nae au wewe

maaumuzi yahitajika tna ya busara ongea na ndugu zako kama wapo aunt/baba wadogo muone hao watoto wataishije huko kijijini ..
 
ama kweli zigo la misumari halibebeki kwa kichwa..

mtu wa diploma sio under 18 tena, huyo ni matured kabisa na akili zake.

jambo la kuanza kumtusi mzazi wangu lilikuwa si la kujadili... aisee ningewafanyia bombing tu wasepe kwa amani!

an old woman of 70 cant stand a harsh talk with 21 years old bratty kids...!

wachape lapa... ni wakati wa ulimwengu sasa kufunza..
 
Mkuu nakushukuru. Japo naishi mbali huwa najitahidi sana kwenda nyumbani kusalimia. Kila nikienda huwa tunafanya vikao vya familia kupitia mambo yote hayo. Wazee mashuhuri marafiki zetu ninawaita ili watoe ushauri kwa hao watoto lakini ikipita wiki tu mambo yanaanza. Kwa ujumla nimejitahidi sana lakini sioni mafanikio. Unaweza kufanya ,azungumzo nao, mfano siku moja.....baada ya kuongea nao, wiki moja baadaye nilikuta barua ameandika mtoto mmoja akisema....nanukuu"wadogo zangu hapa tunapoishi ni kama ndege tu. Huyu kaka yetu anatusaidia lakini hatupendi. Tujihadhari naye" Kwakweli nilitaka kuchanganyikiwa kwa kusoma ujumbe ule!

Sasa ndugu yangu mpaka hapo bado unasubiri nini kuachana nao japo kwa muda tu ili wajifunze then ndo urudishe msaada? mana mwisho wa siku wanaweza hata kumfanyia kitu kibaya huyo mama yako, hamumuhurumii bibi wa watu jamani? hapana bwana, me mama yangu anavyoniuma siwez kuthubutu kusikia kitu cha namna hiyo tena zaidi ya mara mbili alafu nikaendelea na maisha yangu as if nothing is happening, hao wanahitaji fundisho, kama kuambiwa ww mwenyewe umeshakiri wameshaambiwa sana sasa hivi kilichobaki ni vitendo ili waelewe, wanahitaji kufunzwa na ulimwengu hao, hiyo huruma yako itakuja kukuletea balaa na wao washakusoma ndo mana wanakudharau
 
Ahsante dadangu.
 
Ahsante kwa ushauri mkuu. Ninatafakari ushauri wako
 
ama kweli zigo la misumari halibebeki kwa kichwa..

mtu wa diploma sio under 18 tena, huyo ni matured kabisa na akili zake.

jambo la kuanza kumtusi mzazi wangu lilikuwa si la kujadili... aisee ningewafanyia bombing tu wasepe kwa amani!

an old woman of 70 cant stand a harsh talk with 21 years old bratty kids...!

wachape lapa... ni wakati wa ulimwengu sasa kufunza..

Ahsante. Naitafakari advice yako
 
Mtoto mkubwa anasoma Diploma in Accountancy (namsomesha kwa kinguvunguvu maana ndugu zangu wote hawapendi). Huyu yupo chuoni. Wa pili amemaliza VETA (naye nililipa karo mpaka dadazangu wengine wamentenga), huyu ndio tatizo. He is 19 now. Wengine wawili wapo Sekondari Form 3 kitindamimba yupo Std 6. Huyo wa VETA ana walioko Sekondari wamekuwa mwiba sana kwa mama yangu. Lakini niwafanyeje??

Hao ni ndugu Zako usiwatenge tafadhali waachie wasome km uwezo upo,ila mama mwondoe ukae nae kina mama wana Baraka zao wakikaa nyumbani niulize Mimi ntakupa jawabu hili

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahsante kwa ushauri wako mzuri. Huoni kuwa nitaongeza gharama ya kutunza familia, sasa zitakuwa tatu: ya kwangu, mama na hao watoto?
Ndo mana nikakuuliza how old are they? Nadhani option ya kuishi na mama iko poa. Waishi wenhewe kwenye nyumba ulomjengea mama then kadiri ya uwezo wako uwasaidie ukishindwa si basi bwana? Kwa nini uumize kichwa?
 
Cthia chriss pacha wangu come this way.....
Tukisema watt wa kambo kuwakea ni kazi watu hawaelewi.

Back to topic
Kwanza nakushangaa, ningekuwa mi ht shilingi kumi yangu wasingeiona coz cpo tayar kuona mama yangu anateseka wakati ss ni muda wake wa kupumzika ukizingatia mateso ya baba, halafu eti mtt wa kambo aje aniletee ujinga km huo.
Hata Mungu anakuona hukuwa na nia mbaya juu yao.
Its tym nw waache waende kwa ndugu wa mama yao na ulimwengu utawafunza.

Au unataka ukute wamemuwekea ht sumu mama yako, who knows! !!!?km unaewahangaikia kwa ajili ya future yao wanakuona huna maana huyo mama yako je?

Narudia tena waache imetosha, ni muda wa kumuangalia mama yako sshv umri wenyewe huo unataka aondoke hapa duniani na kinyongo? au unataka radhi ww?
Manaake ujue ht mana yako hana raha na atakuwa anakushangaa ikiwa nyie wanae ndo nguzo mhimu iliyobaki

Nasema achana nao, full stop
 
Mtoto mkubwa anasoma Diploma in Accountancy (namsomesha kwa kinguvunguvu maana ndugu zangu wote hawapendi). Huyu yupo chuoni. Wa pili amemaliza VETA (naye nililipa karo mpaka dadazangu wengine wamentenga), huyu ndio tatizo. He is 19 now. Wengine wawili wapo Sekondari Form 3 kitindamimba yupo Std 6. Huyo wa VETA ana walioko Sekondari wamekuwa mwiba sana kwa mama yangu. Lakini niwafanyeje??

Huyo kitinda mimba jaribu kumhandle na kumpa mawaidha mema bila shaka atakuwa mja mwema

Hao wengine washakuwa wakubwa sasa,sio yatima tena,kama hawataki kufuata masharti ya hapo nyumban fukuzia mbali kule

Hongera sana kwa moyo wako wa ujasiri mungu akupe nguvu na kukulipa kheri
 
Embu wasikusumbue muondoe mama yako apo amalizie uzee wake vzr ao wengne wa2mie matumiz kadri ya uwezo wako.
 
Misalaba mengine yakujitakia

Na kwa nini mumbebeshe mama wa watu matatizo yasiyo ya lazima?

Kutafuta ushujaa???

Ndo matokeo ya kutomsikilizA ndugu zako hayo
 
Mkuu nakushukuru. Japo naishi mbali huwa najitahidi sana kwenda nyumbani kusalimia. Kila nikienda huwa tunafanya vikao vya familia kupitia mambo yote hayo. Wazee mashuhuri marafiki zetu ninawaita ili watoe ushauri kwa hao watoto lakini ikipita wiki tu mambo yanaanza. Kwa ujumla nimejitahidi sana lakini sioni mafanikio. Unaweza kufanya ,azungumzo nao, mfano siku moja.....baada ya kuongea nao, wiki moja baadaye nilikuta barua ameandika mtoto mmoja akisema....nanukuu"wadogo zangu hapa tunapoishi ni kama ndege tu. Huyu kaka yetu anatusaidia lakini hatupendi. Tujihadhari naye" Kwakweli nilitaka kuchanganyikiwa kwa kusoma ujumbe ule!

Acha kujifanya shujaa

Au mpaka wakuwekeeni sumu au kuwadhuru ndo utaelewa

Umejitahidi kuwasaidia wao hawana wema achana nao

Acha dunia iwafunze sasa
 
Back
Top Bottom