Nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyeje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyakwaratony, Jul 16, 2012.

 1. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wapendwa?

  Nimepata ajira mpya katika kampuni flani kitengo cha masoko (marketing) kama mjuavyo marketing inahitaji mtu uzunguke sana ukutane na watu sana... nimeanza kupata appointment na watu mbali mbakli wengine hunialika lunch ili tukanegotiate biashara... shida inakuja kwa mpenzi wangu hanielewi kabisa kisikia kuwa nakwenda lunch na mtu flani hasa mwanaume kwa ajili ya kunegotiate biashara anahisi kama hwua kuna mengine zaidi. Mimi kwa upande wangu hwua hakuna cha zaidi isipokuwa ni biashara tu. na iliwahi kutokea kuwa mbaba mmoja alinihaidi kunipa tender flani ila kigezo atoke na mimi. nilikataa na biashara iliishia hapo.

  huwa napata wakati mgumu sana katika kufanya marketing ukizingatia mimi ni msichana. naomba ushauri nii-face vipi hii situation pia nimuelewesheje mpenzi wangu anielewe kuwa mimi nipo kikazi na sio vinginevyo? je wadada wenzangu halii hii imeshawakuta? mlii-solve vp?

  Asanteni na karibuni kwa michango na ushauri pia.
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Ni tabu sana kuishi na mtu asiejiamini.Nyie mnatakiwa nyote mjiamini!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  well said.....
   
 4. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nature will tell him huna cha kufanya zaidi ya kuendelea na kazi.
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Msaidie mwenzio akuamini halafu maisha yataendelea. Mfano, usifanye siri mikutano yako. Kama ana nafasi mkaribishe akusindikize, anaweza kuzurura ama kupata kinywaji pembeni wakati wewe unaendelea na shughuli zako. Akikuamini na kujijengea confidence kwako basi atakuacha hata hamu ya kukusindikiza itamuisha.

  Muache akuonee wivu bana, si anakupenda. Wenzio hawaulizwi hata habari za kazi!
   
 6. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Just stay true to your relationship and job...kama ni wako atajaelewa tu kwamba ndio kazi yako.
  Asipoelewa basi breakup is inevitable..Kwa sababu suppose umeunia ukawa na kovu sehemu fulani na yeye hapendi obviously mtaachana because there is nothing you can do about it
   
 7. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,015
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  dah hapo kwenye red pamenichekesha sana , uwiiii sasa kama uko busy na kazi huo muda wa kuuliza unatoka wapi , huyo jamaa atakuwa chizi wivu gani wakijinga kama vp mpige chini wewe upige kazi
   
 8. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kazi ndio kila kitu chako ndugu yangu, mwanaume ni mtu wa kupita tu umekutana nae, kama hanashindwa kukuelewa, mpige chini atapata somo.
  Caution: Jaribu kuchunguza mwenendo wake kwani hawezi kukudhania kwa kitu kama hiki kama yeye hakifanyi.
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,826
  Trophy Points: 280
  Mueleze akuelewe! Kwanini ajiamini?
  Jaribu kumfundisha mtu wako kujiamini!
   
 10. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145

  Endelea kumueleza na kumsisitizia kuwa kazi ndiyo inakulazimu kuwa unatoka mara kwa mara na si mapenzi yako. Na akumbuke kuwa kazi ndiyo inakuweka mjini, bila kazi unakuwa si mtu si lolote!

  Lakini na wewe upunguze kwani lazima negotiation zote zifanyike wakati wa lunch? Wewe au huyo unaye negotiate naye hana ofisi? Hakuna sehemu nyingine yeyote isiyo na mashaka ambayo mnaweza kuitumia kwa negotiation?
  Angalia, wasije hao jamaa wakaanza ku-negotiate na wewe vitu vingine, hizi lunch hizi zimewacost watu wengi sana. Take care!
   
 11. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Huu uzi umenikumbusha juzi kati nilikuwa naangalia movie ya Nigeria... ilikuwa na same story line kuhusu ma bank yanavyowatumia wadada kuwashawishi wenye pesa zao kufungua account na Bank zao. Nilifunguka macho na kujiuliza hii kwetu ipo? Sasa wewe umenihakikishia hilo.

  Turudi kwenye mada

  Wewe unaipenda hiyo kazi ya kualikwa lunch na wanaume kuongelea biashara? Je hao wanaume hawawezi kukutana na wewe kwenye ofisi zao? Kwa uelewa wangu wewe ndio mwenye shida kama marketia kama ni lunch you should be the one to offer not to be offered. Yani nime sense kama haya mashirika yanatumia wadada wazuri kuuza biashara zao

  Hapa sitaki kuongelea huyo jamaa yako anawivu au hana... ila wewe unaipenda hiyo kazi? Kama ndio keep on hata kama jamaa ataamua kubwaga manyanga. Kama huipendi basi tafuta kazi nyingine.
   
 12. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli hata mimi hilo la kuzungumzia maswala ya kiofisi mahotelini limenitia shaka. Kuwa makini dada hao wenye pesa zao wana mitego mingi... Mwajiri anatumia usichana wako ku make money.

   
 13. mito

  mito JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,634
  Likes Received: 2,020
  Trophy Points: 280
  Nyakwaratony usihangaika kutak kusolve hiyo situation kwani haitasovika mawazoni mwa mwanaume. I'm a man, I know how this is frustrating. The reason tunakuwa hivi ni kwa sababu ya hapo kwa red, pia tunajijua tunavyojua kuwadanganya (ndo maana hayuko confortable kukuona una frequent meeting na wanaume), na mbaya zaidi tunaamini kwamba utawakataa tisa lakini wa kumi utamkubali (hope you know what I mean here).

  Kifupi si suala la kutojiamini kama baadhi wanavyojaribu kusema, bali ni suala la perception and experience ya wanaume! Ndo maana nakushauri usitake kusolve hii hali coz its very difficult to change someone's perception. Cha kufanya, we jitahidi ku-prove kwake kuwa hiyo bold statement yangu hapo juu ni wrong.

  Otherwise, I can foresee a tense relationship ahead you!
   
 14. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huyo mwanaume wako ana wivu ndo sababu na hapo ndo udhaifu wake.

  Ungekuwa mke wangu ninge kuruhusu tu ili na mimi nipate kuwa naongea na wanawake wengine kibiashara.
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  mwambie huyo mwanaume wako ajiamini....
   
 16. mubaraka

  mubaraka Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mm ninachoona ni kwamba kama ww unahisi kuwa mtu akifanya hivyo kwako ni sawa basi endelea kufanya lakini kama m2 akikufanyia hivyo kwako hutofurahi basi usifanye
   
 17. mubaraka

  mubaraka Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cha kufanya pima uzito kati ya kazi au mpenzi then chukua hatua. kama kazi na mapenzi vyote vinatafutwa so its u to decide
   
 18. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Safi sana, napenda misimamo kama hii, kazi siku zote ni namba moja halafu mapenzi baadaye.
   
 19. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Oaneni,zaeni mtoto au watoto huo ndio utakuwa mwisho wa huo wivu,kwani atafanya wivu wakati anajua hapo ndio panapoletea watoto kula,kuvaa n.k.!hata mimi nilikuwa hivyo kabla sijawa na mtoto ila baada ya kuzaa sikujua hata huo wivu ulipotelea wapi,swala la vishawishi so long as you are a woman huta vikosa kwani men tumeumbwa na hiyo tamaa, muombe Mungu kila uendapo kazini atakupa nguvu utavishinda na hakuna kitakacho haribika.
   
 20. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  dah, kazi za marketing zimekaa kimtego sana kwa akina dada... sometimes you have to go an extra mile to please and win the customer
   
Loading...