Nifanyeje niweze kumsahau? Please advise

Nifanyeje niweze kumsahau? Please advise

Mapenz hatree,jichanganye na marafiki muda ambao upo free,pia jaribu kuwa bize sana na kazi.
Tuna mtoto, hatujaoana, tuliachana kwa muda wa miaka miwili na nusu, sababu ilikuwa ni mistreatment/abuse.
hapo katikati kulikuwa na mushkeli sana wa kupigana na kupelekana polisi na kusemeleana kwa ndugu jamaa na marafiki mpaka wazazi.

alisusa kumuona mtoto na kumuhudumia kwa kipindi chote hicho. tumekutana tena mwaka huu mwanzoni, akadai anakaribia kumtolea mtu mahari, na mpaka sasa wana miezi mitatu tu.aliniomba tena turudiane nikakubali. tukakubaliana mi nimuache niliyenaye na ye amuache aliyenaye na process za mahari zisitishwe. nikafanya upande wangu. ye kumuacha hataki, lakini process za mahari zimesitishwa. anasema yeye kama mwanaume hawezi sahau nilivyompeleka polisi, ananipenda lakini hawezi kuwa na mimi.

nimefikiria nikaona kama vile amefanya revenge, nimeumia sana,nina maumivu makali moyoni sijawahi kupata,nikikaa nalia peke yangu. i think i need to talk to a psychologist nirudi kwenye hali ya kawaida.i left the guy i was with, he is still with his woman, but saying that he is not happy because he isnt with me ila hawezi kuwa nami coz hajasahau. nikikaa kimya lazima anitafute kupretend anaulizia mtoto.

how do i deal with this pain please people advise/comment. i wish i could go somewhere far, but then again nawaza why should i do that because of one person. but why did he do that? ndugu zake kuchwa kunitafuta kutaka niwe close nao, nao wananifanya iwe ngumu mimi kumsahau. nifanyeje?
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Dahaaa, pole mwaya, achaana nae badilisha namba ya cm kuepuka maumivu, kama unaweza fanya yk,dili kuhuc mwanao atakusaidia badaae
 
achana nae we songa mbele ikiwezekana badili line ya simu au hama unapokaa kama anapajua,anza maisha mapya asikusumbue huyo Mungu atakupatia aliye mwema utamsahau huyo anayekuumiza.Mlee mtoto wako yeye ndio faraja yako usiumie sana.
 
  • Thanks
Reactions: Hun
!
!
looooove takes time to heal when you love so much.........give it some time and it will be okey, its not oxygen after all.
Najua kusema ni rahisi but thets all i can comment
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Mtu alikuwa na kawaida ya kukupiga, na alitishia kukuua na akatishia kuchoma nyumba yenu moto..bado unamuhitaji maishani mwako!..U have loose screws in your head
 
Mmekwisha zaa, nyinyi sasa ni ndugu, ni lazima mtakutana kwa ajili ya mwanenu... Msondo hao, baba ya muziki. Ushauri wangu. Kwanza jamaa anafurahi sana kwa maumivu unayoyapata. Kisaikolojia ataitwa sadist. Siku ukifanikiwa kuwa na amani na akajua itakuwa zamu yake kuumia. Kama unaweza badili line. Hata kama mtawasiliana na jamaa, hakikisha hakusomi hisia zako. Usimpe nafasi ya kukurubuni. Hakikisha hufuatilii mambo yake. Usimpe nafasi ya kuwa karibu nawe. Hakikisha mambo yako hayajui. Ukiweza kufanya hayo angalau utahema na maumivu yatahamia kwa jamaa.
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Pole hun,Mungu akujalie wepesi.Pia tunajifunza kutokana makosa.huna haja ya kumweka akilini mwako,jikeep busy,fanya sana ibada,vitasaidia.pole
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Kweli?.. Jitahidi usiwe mtu wa kujitenga mbali ya yote, pole sana
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Unapenda kusikopendeka! Fanya uamuzi. Unamjua usian bolt, mwige!
 
Thank you so much guys kwa ushauri/ maoni yenu.
 
hun kwanza pole

ila katika mambo ambayo hayataki kusukumwa na matukio ni mapenzi.

kwanza huelewi moyo wako unataka nini,pili unahisi mtu ukiwa umezaa nae ndo lazima akuoe ingekuwa ndivyo usingempata huyo uliemsaliti baada ya yeye kukupojea wewe pamoja mtoto uliiyenae na kuwaacha watu wabichi wengine wanabikiraa na kukubali wewe
kwa lugha nyepesi ni kwamba unamfanya mwenzio(huyo uliemsaliti) breaking point kwamba ukichoshwa huko unaenda tena kwake

tatizo ni wew wala sio yeye mwenzio hajataka kumuacha kwa sababu hakutaka kumsaliti na note my word PROCESS ZA MAHARI ZINAENDELEA

sasa wewe funga ukurasa wa zamani mchukue mwanao tafakari unachokihitaji kwa sasa either ni amani au misukosuko then chukua hatua wala huhitaji psychologist
 
Back
Top Bottom