Nifanyeje niweze kumsahau? Please advise

Nifanyeje niweze kumsahau? Please advise

Ulikosea mno kurudiana nae...sasa run and run

.....she can run but she cant hide!
The best way kupambana na "abuser" wake ni yeye mwenyewe kujitambua kisha kukabiliana nae head-on!

Remember, wana mtoto aka #PinguYaMaisha ....

Kinachoendelea hapo ni kama Tuko alivyotuambia katika mada yake, jamaa ataendelea #KurukaFensi kumrambisha tano huyu bibie kila anavyojiskia.... #KimSukuleStyle !

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Kakupatia sana Ongera sana kwake mshikaji, munazingua sana nyinyi wachuchumaa chini.
 
Ulikosea mno kurudiana nae...sasa run and run
Nakuomba nitofautiane na wewe. Huyu jamaa anampenda sana huyu mama ila nadhani kuna pahala hawaelewani. Ni bora wakaketi wawili wakalimaliza hili tatizo. Mtu kuachana na mpenzi akamfuatilia na kutaka kuchoma nyumba ni upendo uliopitiliza na kuwa kero. Bibie akijirudi wataishi raha mstarehe.
 
Pole kwa kumuacha uliyekuwa naye!
Tunajifunza kutokana na makosa.
 
Nakuomba nitofautiane na wewe. Huyu jamaa anampenda sana huyu mama ila nadhani kuna pahala hawaelewani. Ni bora wakaketi wawili wakalimaliza hili tatizo. Mtu kuachana na mpenzi akamfuatilia na kutaka kuchoma nyumba ni upendo uliopitiliza na kuwa kero. Bibie akijirudi wataishi raha mstarehe.

Hapa ishu sio kupendana hapa ishu ni huyu dada kulilia kufanywa mtumwa msome Mbu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nakuomba nitofautiane na wewe. Huyu jamaa anampenda sana huyu mama ila nadhani kuna pahala hawaelewani. Ni bora wakaketi wawili wakalimaliza hili tatizo. Mtu kuachana na mpenzi akamfuatilia na kutaka kuchoma nyumba ni upendo uliopitiliza na kuwa kero. Bibie akijirudi wataishi raha mstarehe.

....ati?! Ni upendo uliopitiliza?
Hapana banaa, huyo mwanaume ni Psychological Abuser.

Mtu kama huyo anaweza yafanya kama yale ya jamaa alioua watu wasio na hatia pale Ilala.

#MosKwito !
 
Khaaa mwanamke unapigana na mwanaume sijui mumeo loh afu eti anakwambia mrudiane kwee kwee huyo unajipeleka ! We unamatatizo !!!
 
mi sio mkorofi hata yeye anajua, na kishule yeye amesoma kuliko mimi. nilimuacha kwa kuwa alikuwa akinipiga, emotional abuse na mengineyo ambayo nilishawahi kusema kwao. nilimpeleka polisi baada ya kuachana maana alikuwa akinifanyia fujo na kunitishia kuniua akinikuta na mtu, na akija nyumbani kwetu anatishia kumwaga petrol achome nyumba.

Kwa maelezo haya endelea na maisha yako achana naye kabisa abaki kuwa baba wa mtoto tu.
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Khaaa mwanamke unapigana na mwanaume sijui mumeo loh afu eti anakwambia mrudiane kwee kwee huyo unajipeleka ! We unamatatizo !!!

Munkari, nilivyosema kupigana hapo nilimaanisha alikuwa akinipiga ndipo nilipompeleka polisi
 
Climaxupgrade ndo nini? Mwalimu wangu hakumaliza hiyo topic....

yani unavibrate sauti haitoki,nyuso ya furaha ,unahangaika ,unatamani upasuke kwa raha sema we mtoto sana hii itakuwa kesi au tutaste
 
hapana usikudhubutu kabisa kurudia matapishi kwani hulka ya mtu haibadiliki na sasa atakukata hiyo shingo maana umesha mwambia una mwanaume naye kahamisha ule upendo kwako yupo na mwanamke mwingine sasa wewe unarud uende wapi ..umaut unakunyemelea hayo mapenzi yako yakizamani sana badilika unakonda kwa sababu ya mwanaume tupa kule chapa kazi
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Ulifanya kosa kubwa sana kumuacha uliyekuwa naye pasi kukosewa. Hebu jiulize unataka nini???
 
mi sio mkorofi hata yeye anajua, na kishule yeye amesoma kuliko mimi. nilimuacha kwa kuwa alikuwa akinipiga, emotional abuse na mengineyo ambayo nilishawahi kusema kwao. nilimpeleka polisi baada ya kuachana maana alikuwa akinifanyia fujo na kunitishia kuniua akinikuta na mtu, na akija nyumbani kwetu anatishia kumwaga petrol achome nyumba.
Kwa hiyo wewe hayo yote hukuyaona mpaka ukakubali kurudiana na wewe, akianza tena kukutishia na kutaka kuchoma nyumba yenu utaenda tena police? au akuue kabisa ili uende police vizuri.,, kwanini unashindwa kujitambua na kujithamini?
 
Back
Top Bottom