Nifanyeje nisipotee Dar?

Nifanyeje nisipotee Dar?

Panda Dar Lux...ukifika Ubungo Dar sio ya kupotea utafika unakokwenda uzuri kabisa. Zingatia haya:
1. Kama bajeti inaruhusu siku utakayofika tumia Taxify au Uber kule uendako
2.Ukiingia Ubungo bus terminal nenda ofisi za utawala uliza swali lako kwa Afisa Usalama aliepo atakuelekeza
3. Piga simu kwa mwenyeji wako
4. Anzisha sledi yenye kichwa NIMESHAFIKA DAR wenyeji tutakuelekeza nini ufanye ili usipotee.

Karibu Dar wamkoani huku chakula kikuu vyepe...ila ukizingua tuna panya road tutaagiza wakudhibiti.
N'yadikwa
Nauli sh ngapi bro, wasije wakanigonga
 
Huku Dar kuna nyumba za wageni usijiloge ukaingia humo wakati wew mgeni , humo ndani wamejaa wenyeji tupu.
 
Acha fikra potovu wewe

Nyambaf wewe[emoji34]mimi nampa mtu ushauri wa maana wewe unasema fikra potovu[emoji34]
Au umepangilia mipango ya kumuibia ati[emoji34]
Kwa taarifa yako kajaribu sasa ukamwibie hao wanatoka kwao wameaga ukimwibia hata kiberiti ghafla asubuhi unaamka gololi moja la pumbu halipo
Hapo ndio utajua chungwa sio chenza[emoji3]
 
Pia naomba kujua nipande gani tokea hapa Mwanza, naelekea dar kwa Mara ya kwanza kikazi

[emoji15]hujui hata gani ya kupanda[emoji15]
Duuuhh,,,Hapo ndipo napozidi kumshkuru nyerere kwa kutunyima elimu,kamwe TANZANIA hakutatokea VITA[emoji1317]
 
Back
Top Bottom