Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Du!! hapa hata usingizi haupiti yeye nasikia anakula mziki tu hana wasiwasi
Pole sana,[emoji23][emoji23][emoji23] huo mchezo nilishafanya siku moja nimelala siku kwanza, ya pili akajua hasira zimeisha nikaunganisha, ya 3 nikakuta kitanda na godoro vipo stoo [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikifika jioni mapema nenda kalale ,akiwa sebuleni toka mbio nenda fanya kama unatapika ukitoka huko umetepeta, mara 2 na yatatu hamia chooni trips 3 na tafuta na dawa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata utoke uwe unaenda hosp [emoji23][emoji23]lazima majeshi yakae sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole... Muombe msamaha yaishe.maana wewe ndo ulikosea kuhama chumba
 
Rudi tu acha kujiona nunda wakati umetolewa mahali
 
Sasa mambo yetu mpaka uje uyaseme huku?? Umewaeleza na makosa yako lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hizo ndo zangu, πŸ˜‚ πŸ˜‚ aisee napenda kweli kususa na kuhama chumba, ila mwenzio huwa nabembelezwa atakuja hata mara 10 mpaka ahakikishe usiku hauishi nimerudi chumbani kwetu, sometimes najiuliza siku asiponifata sijui itakuaje πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ila ungetuambia kosa lake tungejua zaidi jinsi ya kukushauri, mana umesema kosa ni lake, kama ni lake kweli ilitakiwa yy ndo ajishushe yaishe, lakini ukisema uyaache tu yapite hv hv bila mazungumzo ataendelea, hawa wanaume bwana usipoonyesha msimamo mapema trust me hakuna rangi hawatakuonyesha mana wanapenda sana kutingisha kiberiti ili wajue jinsi ya kukupelekesha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…