Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Naona Dawa Imekuingia Siku Nyingine haurudii kukurupuka, maana angekubembembeleza na kujilizaliza Kwako Kangekua katabia ka kuhama chuma kila unapohisi kukosewa
 
Naona Dawa Imekuingia Siku Nyingine haurudii kukurupuka, maana angekubembembeleza na kujilizaliza Kwako Kangekua katabia ka kuhama chuma kila unapohisi kukosewa
Na kajua kunikomesha walah!!!
 
Wakati unahama Chumba ulituomba ushauri? Pambana na ujinga wako wewe mwenyewe, tuna mambo mengi na muhimu yakufanya.
 
Hujawahi kuishi na mwanamke eeeh??

Mke uliyemzoea hata akilala uchi wala hastui,

Huyo sio demu wa siku mojamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka idadi yenu wanawake imezidi kipimo. Ukinuna mwengine ana kava nafasi .

Kibiriti ulicho kitingisha umepata idadi ya njiti zilizomo...
 
Kuna brother mmoja alichepuka,mkewe akajua,akamsema sana mbele za watu...

Mke kwa jazba na kwa kupayuka mbele ya kadamnasi,akamwambia jamaa "kwanza katika wanaume na wewe utajiita mwanaume? Nakuvulia chupi basi tu,haujawahi kuniridhisha unaishia kunichafua tu na shahawa zako"

Akaendelea, "mwanaume mwenyewe pesa huna,nakuvumilia tu,wanaume wenzio wenye pesa zao wananiheshimu,sio kama wewe mwanaume suruali"

Muda huo jamaa alikuwa ametulia kimyaaa haongei chochote,zilipita siku kadhaa jamaa akaondoka na kuelekea kusikojulikana,akamuacha mke kwenye nyumba ya kupanga,na watoto wake 2!

Jamaa alipoondoka mke alishindwa kulipa kodi,watoto walikuwa wanasoma private akawahamishia shule ya umma,mumewe mpaka leo hajawahi kuonekana....

Inasadikika alikwenda manyara huko,kuanza maisha mapya...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umekaa Naye muda wote haujui udhaifu wake, tafuta rafiki yake akampe somo hapo fasta kuliko ndugu utaongeza matatizo. MPE kitu anachopenda utaona anabadilika, alafu rudi
 
Na kajua kunikomesha walah!!!
ina maana mpaka sasa hujarudi post zote 190 hazikufua dafu
leo katandike kitanda na ulale atakusamehe ingawa makosa ni yake
jifanye umepitiwa usingizi mgusishe msambwanda, lazima atashtuka maana mwili wa mwanamke ni laini kuliko

kisa gani hicho alikifanya hujatuhabarisha
 
mwanaume kujishusha ni ngumu sana anafanya hivo ili akukomoe na anaona unavyotapatapa.......japo na yy anaumia.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…