Punguza ulaji wa red meat, nafaka, vitu vya mafuta, sukari, beer na kuku wa kisasa.Ndugu wana JF. Siku hizi naona kitambi kimeanza kuninyemelea. Nifanyeje ili nikikwepe? Naomba msaada wenu tafadhali.
Unatakiwa kuacha vyakula vya mafuta na ufanye mazoezi je unakaa wapi
Kunywa supu ya kuku anayeatamia mayai na pia mayai viza utaharisha km wiki hv kitambi kwishneyy