Nifanyeje nipunguze kitambi aka kifriji?

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
864
534
Ndugu wana JF. Siku hizi naona kitambi kimeanza kuninyemelea. Nifanyeje ili nikikwepe? Naomba msaada wenu tafadhali.
 
Ndugu wana JF. Siku hizi naona kitambi kimeanza kuninyemelea. Nifanyeje ili nikikwepe? Naomba msaada wenu tafadhali.
Punguza ulaji wa red meat, nafaka, vitu vya mafuta, sukari, beer na kuku wa kisasa.
Pendelea kula matunda, kunywa maji mengi, mboga za majani na kutumia asali badala ya sukari.
Fanya mazoezi kwa kuwa calories in ie unachokula inatakiwa kuwa ndogo kuliko calories out ie mazoezi.
 
Nakushauri gegeda sana kwa week piga mara 21 shots,inasaidia kitapungua chenyewe kwa sababu ni mazoezi tosha
 
Dawa pekee Ya Kuondoa Kitambi ni *148* 01# Ok. Hebu Jaribu hiyo na Utanipa Matokeo Yake:smile-big:
 
Afadhali umegundua ndio kinaanza. Punguza portion ya unachokula, jaribu kula 3hrs kabla haujalala na mazoezi ni muhimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom