Nifanyeje nipunguze kitambi aka kifriji?


V

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
417
Likes
14
Points
35
V

vamda

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
417 14 35
Ndugu wana JF. Siku hizi naona kitambi kimeanza kuninyemelea. Nifanyeje ili nikikwepe? Naomba msaada wenu tafadhali.
 
G

Gamba la Chuma

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Messages
1,247
Likes
61
Points
145
G

Gamba la Chuma

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2012
1,247 61 145
Ndugu wana JF. Siku hizi naona kitambi kimeanza kuninyemelea. Nifanyeje ili nikikwepe? Naomba msaada wenu tafadhali.
Punguza ulaji wa red meat, nafaka, vitu vya mafuta, sukari, beer na kuku wa kisasa.
Pendelea kula matunda, kunywa maji mengi, mboga za majani na kutumia asali badala ya sukari.
Fanya mazoezi kwa kuwa calories in ie unachokula inatakiwa kuwa ndogo kuliko calories out ie mazoezi.
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,889
Likes
10,097
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,889 10,097 280
Nakushauri gegeda sana kwa week piga mara 21 shots,inasaidia kitapungua chenyewe kwa sababu ni mazoezi tosha
 
Kozo Okamoto

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Messages
3,391
Likes
336
Points
180
Kozo Okamoto

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2013
3,391 336 180
utakaposikia mkuu bujibuji kambeba shemeji yetu mbona kitaisha tu
 
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
589
Likes
7
Points
0
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
589 7 0
tafuta nyumba ndogo mbili. moja zanzibar nyingine Tanga
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
30,992
Likes
39,652
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
30,992 39,652 280
Dawa pekee Ya Kuondoa Kitambi ni *148* 01# Ok. Hebu Jaribu hiyo na Utanipa Matokeo Yake:smile-big:
 
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Messages
4,813
Likes
2,097
Points
280
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2013
4,813 2,097 280
Pole sana mkuu..kama kawaida Mafanikio ya mtanzania ni kitambi kwanza inaonekana umepiga hela hivi karibuni. Ndio maana
 
MTIMBICHI

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
950
Likes
33
Points
45
MTIMBICHI

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
950 33 45
Unatakiwa kuacha vyakula vya mafuta na ufanye mazoezi je unakaa wapi
 
Power to the People

Power to the People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2007
Messages
1,200
Likes
253
Points
180
Power to the People

Power to the People

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2007
1,200 253 180
Afadhali umegundua ndio kinaanza. Punguza portion ya unachokula, jaribu kula 3hrs kabla haujalala na mazoezi ni muhimu
 
H

Hatugombani

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Messages
910
Likes
324
Points
80
H

Hatugombani

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2013
910 324 80
Funga na ufanye maombi ya nguvu,wiki tu utakuwa fresh kimwili na kiroho.
 
M

mahakama ya kazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Messages
1,476
Likes
33
Points
145
Age
35
M

mahakama ya kazi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2013
1,476 33 145
mazoezi kila siku asubuhi na jioni
 
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
589
Likes
7
Points
0
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
589 7 0
umeoa. kama ndio. kabila gani ? au anatokea mkoa gani ? Kama umeo Mbeya imekula kwako. utakufa nacho.
 
Gwankaja Gwakilingo

Gwankaja Gwakilingo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
1,977
Likes
46
Points
145
Gwankaja Gwakilingo

Gwankaja Gwakilingo

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
1,977 46 145
baada ya kusoma tu comments za wachangiaji humu ndani chakwangu kimeisha chote
 

Forum statistics

Threads 1,250,617
Members 481,419
Posts 29,738,938